MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

Shukrani sana mkuu.
Kuna wengne wanadai et boxer zina mtindo wa kuchoka mapema baada ya mwaka ivi. Hii imekaaje maana ni vzr pikpiki iwe durable kiasi.

Wengne wakadai spare zake hazipatikani kwa urahisi, zkipatikana znakua ghali.
Pikipiki ni matunzo yako mkuu, Boxer ukiitunza utadumu nayo muda mrefu. Spea zipo ila bei yake ipo juu tofauti na mchina. Mafundi wapo kila sehemu pikipiki hizo zimesambaa sana.

Ukitaka uishi nayo muda mrefu ukifanya service ya kumwaga oil kumbuka kubadili Oil filter na kusafisha air cleaner, exhaust iache hiyohiyo usiweke au kuchezea ili iwe na makelele.
 
Pikipiki ni matunzo yako mkuu, Boxer ukiitunza utadumu nayo muda mrefu.Spea zipo ila bei yake ipo juu tofauti na mchina.Mafundi wapo kila sehemu pikipiki hizo zimesambaa sana.

Ukitaka uishi nayo muda mrefu ukifanya service ya kumwaga oil kumbuka kubadili Oil filter na kusafisha air cleaner, exhaust iache hiyohiyo usiweke au kuchezea ili iwe na makelele.
Nashukuru sana mkuu. Natanguliza shukran kwa mara nyingne.

Nimepitia google wananiambia ni imara sana kwenye off-roads. Na ina uwezo wa kubeba mzigo mzito.

Kitu ambacho nimetafuta na sijaelewa ni oil consumption na maximum speed. Yaani nikiiweka kwenye lami inaweza kuteleza speed kubwa kiasi kama zile boxer zingne?!

Hapo ndo sijaelewa, ila uimara wamesema ni imara hatari.

Puppy
 
Kweli BmX 150 ni uzao wa Boxer uliofata baada ya BM150.
Bajaj walitengeneza hii baada ya kuona toleo la mwanzo halikufanya vyema offroad.

Hii BmX150 iliwekewa mud guard iliyoinuka ili kuzuia tope kunasa na pia tairi ilizotoka nazo ni za kashata. Maboresho hayo hayakuathiri uzito wa pikipiki kwa hiyo speed ipo palepale.
Injini pia wametumia ileile ya Bm150.
 
Nakushukuru sana mkuu kwa moyo ulionao kunifafanulia na kunijibu. Mungu akubariki.

Ngoja niulizie bei yake (BM X150) nikachukue chombo niwe nateleza.

Unajua huyu ngosha katubania ajira kwa hiyo tunatunduiza vijisent mtaani.
 
Mi naulizia yeyote anaejua ambapo watakua na BOXER BM 125.maana ni adimu mno sijui kwanini.
Watafute hawa jamaa

Screenshot_20200607-175017.png
Screenshot_20200607-175017.png
 
Mkuu Offshore Seamen tafadhali kwa mara nyingne naomba unipe details kuhusu utumiaji wa mafuta (fuel consumption) kwa hii pikipiki BM X150.

Je kwa makadilio litre moja inaweza enda km ngp?
 
Kuhusu utumiaji wa mafuta Boxer wanajitahidi sana.

Hii BmX 150 sijaitumia sana kwa makadirio kwa safari niliyoendesha Lita 1 ilienda karibu 40 KM.

Labda tupate msaada kwa wadau waliotumia muda mrefu.
 
Kuhusu utumiaji wa mafuta Boxer wanajitahidi sana.

Hii BmX 150 sijaitumia sana kwa makadirio kwa safari niliyoendesha Lita 1 ilienda karibu 40Km.

Labda tupate msaada kwa wadau waliotumia muda mrefu.
Shukran sana mkuu. Hakika nimeelimika vya kutosha. Amani iwe nawe. 🙏🏿🙏🏿
 
Block, Pistons na valves haswa nahisi ndio spare parts (kimtaa mtaa) maana bila hizo chombo hakiendi. Lakini kinaweza tembea tu bila indicators, tail light etc. So niliposemea kuhusu spares kutoingiliana haswa nilimaanisha hizo jumlishia na carburators.

Week iloisha tumetafuta piston rings za boxer bm 100 karibia wiki nzima chimbo nyingi bila mafanikio hadi tukaagiza mkoa Moshi huko. Na bei yake ni balaa.

Lakini pia kwa mchina GN na CG spares nyingi mbali na tajwa hapo juu haziingiliani
 
Shukrani sana mkuu.
Kuna wengne wanadai et boxer zina mtindo wa kuchoka mapema baada ya mwaka ivi. Hii imekaaje maana ni vzr pikpiki iwe durable kiasi.

Wengne wakadai spare zake hazipatikani kwa urahisi, zkipatikana znakua ghali.
Kwenye kuchoka mapema napingana nao. Pikipiki haina vibration itachokaje mapema? Labda kama mikono mingi.

Spares kutopatikana hapana napingana nao pia. Spares ziko za kutosha.

Spares kuwa ghali nakubaliana nao ni kweli. Lakini ukifunga umefunga.
 
Nashukuru sana mkuu. Natanguliza shukran kwa mara nyingne.

Nimepitia google wananiambia ni imara sana kwenye off-roads. Na ina uwezo wa kubeba mzigo mzito...
Oil kuna za 1500km (ambazo wataalam wanashauri badili at 1000km tumia total).

Lami inachanja mbuga haswa, mshindani wake kwa mbali labda Power King (mchina) iliyofungwa sproket kubwa mbele.

Mzigo inabeba
 
Shukran mkuu. Ukilinganisha na Boxer, haojue, etc yenyewe ina tofauti gani tafadhali.
Mahindra haina jipya utapata tabu spare hizo bado hazijawa nyingi na mtaani hatujaona performance yake ya kutisha.

Kwa bike za India chukua Boxer ukikosa jaribu Tvs.
 
Back
Top Bottom