MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

Nilichogundua kwenye hizi machines ni utunzaji tu asikudanganye mtu kwamba ipi cjui imefanyaje ila cha msingi base kwenye features unazozihitaji.

Mfano me natumia tvs mwaka wa tatu huu nilichopendea ni haina mitetemo kama pikipiki nyingi za kichina ila fuel consumption kiukwel inajitahidi.
 
Mi naulizia yeyote anaejua ambapo watakua na BOXER BM 125.maana ni adimu mno sijui kwanini.
 
Kutokana na niliyoyasoma hapa ...kesho panapo majaaliwa yake Mungu naenda kuchukua tvs mpya Kwa mil2.5 bei ya mkoa niliopo
Asanteni Kwa ushauri wenu
 
Wakuu wasalaam,

Naomba kujua ni pikipiki gani imara na yenye speed ambayo itafaa kwa matumizi binafsi ya kutembelea (misele) na bodaboda kiasi.

Barabara ni lami na off-roads. Budget ni 2.5M.

Kuna mtu kanishauri nichukue Haojue DH 125. Naomba mwenye ufahamu zaidi juu ya hii pikipiki anijuze kama itanifaa.

Shukrani.
IMG-20200603-WA0001.jpg
Haojue DH 125
 
Hii nzuri kwa kutembelea ila haitaki shurba za mizigo mizito.

Kama una safari nyingi za Offroad na mizigo chukua Haojue Ex125 zile za kawaida.

Haojue Ina speed kutokana na kutokuwa na uzito mkubwa, pia kama sio dereva mzoefu inabidi uwe makini Haojue ukiwa kwenye off road usikimbie ovyo kama hauna uzoefu.
 
Shukrani boss. Ahsante kwa ufafanuzi mzuri.

Binafsi sihitaji kubeba mizigo , ni kwa ajili ya kutembelea na boda kidogo.

Nimeona ni tubeless tires. Vipi kuhusu hizi tubeless tires bikes, zina changamoto gani ukizingatia mazingira yetu?

Vipi kuhusu spare parts zake...zinapatikana kwa wingi?
 
Pikipiki yeyote yenye Rims za mapanga unaweza weka tubeless tires. Zenye spokes zinahitaji modification kidogo kukubali tubeless (otherwise labda zije hivyo).

Spare za 125 ni changamoto ukiwa mikoa ndani ndani kidogo. Lakini mara nyingi spare za 150 zinaingiliana pikipiki (hizi jamii ya kichina) so zinafanya wepesi wa matengenezo na pia kama budget kwa wakati husika haiko vizuri.

Kwa Budget yako ingekuwa mimi kwa matumizi uliyoainisha hapo juu ningeongeza hela kidogo sana kama uko mkoani ununue Boxer X150 Gear 4 (achana na hizi Gear 5 wanazoita za MO bado spares ni changamoto mtaani).

Na kama ni pikipiki ya mchina basi chukua Sinoray. Spares zake ghali ila ni mkataba ukifunga umefunga.
 
Pikipiki yeyote yenye Rims za mapanga unaweza weka tubeless tires. Zenye spokes zinahitaji modification kidogo kukubali tubeless (otherwise labda zije hivyo).

Spare za 125 ni changamoto ukiwa mikoa ndani ndani kidogo. Lakini mara nyingi spare za 150 zinaingiliana pikipiki (hizi jamii ya kichina) so zinafanya wepesi wa matengenezo na pia kama budget kwa wakati husika haiko vizuri..
Shukran sana mkuu kwa ufafanuzi mzuri. Nimekusoma vema.

Kwa case ya Boxer x150 je spare zake zipo kila sehem? Na mafundi wake wanapatikana?

Nimeichek google ni kweli inahimili suruba za offroads na mud roads. Inashawishi.
 
Mkuu pikipiki za mchina 125 na 150cc tofauti wameweka kwenye Block,Piston,Valves huko kwingine zinaingiliana kila kitu.

Na hizi zinatumia mfumo wa push road ambao sio changamoto sana ukilinganisha na Timing Chain.

Spea za 125 na 150 zinaingiliana.

Mkuu ahsante kwa ufafanuzi mzuri. Natanguliza shukrani.

Vip kuhusu haojue DH125 na BOXER x150, ipi inashawishi ukizilinganisha kwa matumizi tajwa hapo juu?
 
Boxer Bmx 150 ambayo mbele ina mud guard ya plastic imenuka.

Shukrani sana mkuu.
Kuna wengne wanadai et boxer zina mtindo wa kuchoka mapema baada ya mwaka ivi. Hii imekaaje maana ni vzr pikpiki iwe durable kiasi.

Wengne wakadai spare zake hazipatikani kwa urahisi, zkipatikana znakua ghali.
 
Back
Top Bottom