Yamaha Crux
Jamani, umeambiwa pikipiki zilizotajwa hapo juu! Wewe unakuja na YAMAHA?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani boss. Ahsante kwa ufafanuzi mzuri.Hii nzuri kwa kutembelea ila haitaki shurba za mizigo mizito.
Kama una safari nyingi za Offroad na mizigo chukua Haojue Ex125 zile za kawaida.
Haojue Ina speed kutokana na kutokuwa na uzito mkubwa, pia kama sio dereva mzoefu inabidi uwe makini Haojue ukiwa kwenye off road usikimbie ovyo kama hauna uzoefu.
Na mimi nasubiri kwa wadau wenye uzoefu na hili.
125 zinawasumbua sana mafundi
Pikipiki yeyote yenye Rims za mapanga unaweza weka tubeless tires. Zenye spokes zinahitaji modification kidogo kukubali tubeless (otherwise labda zije hivyo).Shukrani boss. Ahsante kwa ufafanuzi mzuri.
Binafsi sihitaji kubeba mizigo , ni kwa ajili ya kutembelea na boda kidogo.
Nimeona ni tubeless tires. Vipi kuhusu hizi tubeless tires bikes, zina changamoto gani ukizingatia mazingira yetu?
Vipi kuhusu spare parts zake...zinapatikana kwa wingi?
Dar mafundi wapo. Nilidhani ni mkoaniJe mafundi wake wabobezi wanaweza patikana kwa Moro na Dar?
Na je ni ipi bora ambayo ni rahisi kwa mafundi?
Mkuu pikipiki za mchina 125 na 150cc tofauti wameweka kwenye Block,Piston,Valves huko kwingine zinaingiliana kila kitu.125 zinawasumbua sana mafundi
Shukran sana mkuu kwa ufafanuzi mzuri. Nimekusoma vema.Pikipiki yeyote yenye Rims za mapanga unaweza weka tubeless tires. Zenye spokes zinahitaji modification kidogo kukubali tubeless (otherwise labda zije hivyo).
Spare za 125 ni changamoto ukiwa mikoa ndani ndani kidogo. Lakini mara nyingi spare za 150 zinaingiliana pikipiki (hizi jamii ya kichina) so zinafanya wepesi wa matengenezo na pia kama budget kwa wakati husika haiko vizuri..
Mkuu pikipiki za mchina 125 na 150cc tofauti wameweka kwenye Block,Piston,Valves huko kwingine zinaingiliana kila kitu.
Na hizi zinatumia mfumo wa push road ambao sio changamoto sana ukilinganisha na Timing Chain.
Spea za 125 na 150 zinaingiliana.
Mkuu ahsante kwa ufafanuzi mzuri. Natanguliza shukrani.
Vip kuhusu haojue DH125 na BOXER x150, ipi inashawishi ukizilinganisha kwa matumizi tajwa hapo juu?
Boxer Bmx 150 ambayo mbele ina mud guard ya plastic imenuka.