Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Pikipiki ni matunzo yako mkuu, Boxer ukiitunza utadumu nayo muda mrefu. Spea zipo ila bei yake ipo juu tofauti na mchina. Mafundi wapo kila sehemu pikipiki hizo zimesambaa sana.Shukrani sana mkuu.
Kuna wengne wanadai et boxer zina mtindo wa kuchoka mapema baada ya mwaka ivi. Hii imekaaje maana ni vzr pikpiki iwe durable kiasi.
Wengne wakadai spare zake hazipatikani kwa urahisi, zkipatikana znakua ghali.
Nashukuru sana mkuu. Natanguliza shukran kwa mara nyingne.Pikipiki ni matunzo yako mkuu, Boxer ukiitunza utadumu nayo muda mrefu.Spea zipo ila bei yake ipo juu tofauti na mchina.Mafundi wapo kila sehemu pikipiki hizo zimesambaa sana.
Ukitaka uishi nayo muda mrefu ukifanya service ya kumwaga oil kumbuka kubadili Oil filter na kusafisha air cleaner, exhaust iache hiyohiyo usiweke au kuchezea ili iwe na makelele.
Kweli BmX 150 ni uzao wa Boxer uliofata baada ya BM150.
Bajaj walitengeneza hii baada ya kuona toleo la mwanzo halikufanya vyema offroad.
Hii BmX150 iliwekewa mud guard iliyoinuka ili kuzuia tope kunasa na pia tairi ilizotoka nazo ni za kashata. Maboresho hayo hayakuathiri uzito wa pikipiki kwa hiyo speed ipo palepale.
Injini pia wametumia ileile ya Bm150.
Watafute hawa jamaaMi naulizia yeyote anaejua ambapo watakua na BOXER BM 125.maana ni adimu mno sijui kwanini.
Shukran sana mkuu. Hakika nimeelimika vya kutosha. Amani iwe nawe. 🙏🏿🙏🏿Kuhusu utumiaji wa mafuta Boxer wanajitahidi sana.
Hii BmX 150 sijaitumia sana kwa makadirio kwa safari niliyoendesha Lita 1 ilienda karibu 40Km.
Labda tupate msaada kwa wadau waliotumia muda mrefu.
Shukran mkuu. Ukilinganisha na Boxer, haojue, etc yenyewe ina tofauti gani tafadhali.Chukua mahindra arrow
Naungana na wewe kwenye uchaguzi huu. Lakini angalizo kwa uzoefu anunue X150 ile ya 4 Speed, Hii ya 5 speed ataumia sana endapo atachoma clutch, sema inakimbia kweli kweliBoxer Bmx 150 ambayo mbele ina mud guard ya plastic imenuka.
Kwenye kuchoka mapema napingana nao. Pikipiki haina vibration itachokaje mapema? Labda kama mikono mingi.Shukrani sana mkuu.
Kuna wengne wanadai et boxer zina mtindo wa kuchoka mapema baada ya mwaka ivi. Hii imekaaje maana ni vzr pikpiki iwe durable kiasi.
Wengne wakadai spare zake hazipatikani kwa urahisi, zkipatikana znakua ghali.
Oil kuna za 1500km (ambazo wataalam wanashauri badili at 1000km tumia total).Nashukuru sana mkuu. Natanguliza shukran kwa mara nyingne.
Nimepitia google wananiambia ni imara sana kwenye off-roads. Na ina uwezo wa kubeba mzigo mzito...
2,500,000/= mpaka 2,650,000/=
Mahindra haina jipya utapata tabu spare hizo bado hazijawa nyingi na mtaani hatujaona performance yake ya kutisha.Shukran mkuu. Ukilinganisha na Boxer, haojue, etc yenyewe ina tofauti gani tafadhali.