Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Mkuuu, shukran sana kwa maelezo yako.Block, Pistons na valves haswa nahisi ndio spare parts (kimtaa mtaa) maana bila hizo chombo hakiendi. Lakini kinaweza tembea tu bila indicators, tail light etc. So niliposemea kuhusu spares kutoingiliana haswa nilimaanisha hizo jumlishia na carburators.
Week iloisha tumetafuta piston rings za boxer bm 100 karibia wiki nzima chimbo nyingi bila mafanikio hadi tukaagiza mkoa Moshi huko. Na bei yake ni balaa.
Lakini pia kwa mchina GN na CG spares nyingi mbali na tajwa hapo juu haziingiliani
Naungana na wewe kwenye uchaguzi huu. Lakini angalizo kwa uzoefu anunue X150 ile ya 4 Speed, Hii ya 5 speed ataumia sana endapo atachoma clutch, sema inakimbia kweli kweli
Nakazia hapaMahindra haina jipya utapata tabu spare hizo bado hazijawa nyingi na mtaani hatujaona performance yake ya kutisha.
Kwa bike za India chukua Boxer ukikosa jaribu Tvs.
Mkuu samahani, naomba unijuze.Oil kuna za 1500km (ambazo wataalam wanashauri badili at 1000km tumia total).
Lami inachanja mbuga haswa, mshindani wake kwa mbali labda Power King (mchina) iliyofungwa sproket kubwa mbele.
Mzigo inabeba
Natanguliza shukran boss wangu.Mahindra haina jipya utapata tabu spare hizo bado hazijawa nyingi na mtaani hatujaona performance yake ya kutisha.
Kwa bike za India chukua Boxer ukikosa jaribu Tvs.
Mkuu,Mkuu samahani, naomba unijuze.
Nimejaribu kupitia sites kadhaa wanaisifiaa kwa performance yake wakisema inabeba na heavy load na ni nzuri kwa on-off roads, je ni kweli au ni lugha ya biashara? Kwa uzoefu wa waliowahi kuitumia hili imekaaje. View attachment 1471763View attachment 1471764
Shukran sana mkuu. Wanasema gear 4 iko imara sana. Ngoja njipange niingie mjini nchukue chombo.chukua boxer 150 gia 4 au 5
Shukran mkuu. Kwa kweli hii BM X150 nimeipenda sana. Kipindi cha nyuma nilvutia na haojue DH125 na kuzitilia shaka boxer ila kwa maelezo yenu wadau na fuatilia yangu hapa na pale kweli boxer hii nimeikubali.Mkuu,
Utamu wa ngoma uingie ucheze. Hizi pikipiki X150 ni nzuri kwa kweli. Zina nguvu, zina speed na zinavumilia mzigo. Tatizo ni matunzo, ukizembea Oil Change, ikawa inashikwa shikwa na kila mtu lazima utaichukia.
Angalizo: Boxer kwenye tope inateleza sana
2,500,000/= mpaka 2,650,000/=
Fekon mkuu ndio mpango mzima...yani zimekuja kupoteza soko la san lg.Twende pamoja kwa waliotumia na wanaotumia pikipiki tuu.
Kati ya hizi pikipiki unaipenda sana ipi na kwanini(based katika matumizi binafsi)?
1. Boxer
2. SANLG
3. Feckon
4. TVS King
5. Hero
6. King Lion
7.houjo
Niliwahi kuwacheki,hawana pia.wana hizo 125X namimi natafuta BM 125
hahah ahapana kabisa kule sina complications kabisa sitaki longo longo pia sina interest sana na style za magari na ikifika I go for a simple one ku move hapa kwenda pale.....hizo mambo nimekua naziona na sijawahi kuw ana interest.....mkwanja wa kununu sina pia..hata ukiwepo easy goSiku ukitaka kununua gari nadhani hapatakalika
Mkuu nakuhakikishia siku utakayomiliki boxer hutotamani tena kuendesha pikipiki za mchina, believe me!Shukran mkuu. Kwa kweli hii BM X150 nimeipenda sana. Kipindi cha nyuma nilvutia na haojue DH125 na kuzitilia shaka boxer ila kwa maelezo yenu wadau na fuatilia yangu hapa na pale kweli boxer hii nimeikubali.
Ngoja njipange niingie mjini nchkue chombo. Sema gear 4 kama walisema hilo toleo siku hizi et haliji.
Nina Dt nabadili block, jamaa wa veta anasema wanachonga block vizuri, ushauri?Block, Pistons na valves haswa nahisi ndio spare parts (kimtaa mtaa) maana bila hizo chombo hakiendi. Lakini kinaweza tembea tu bila indicators, tail light etc. So niliposemea kuhusu spares kutoingiliana haswa nilimaanisha hizo jumlishia na carburators.
Week iloisha tumetafuta piston rings za boxer bm 100 karibia wiki nzima chimbo nyingi bila mafanikio hadi tukaagiza mkoa Moshi huko. Na bei yake ni balaa.
Lakini pia kwa mchina GN na CG spares nyingi mbali na tajwa hapo juu haziingiliani
Kwangu mimi kila moja ina uzuri wake kwa wakati wake.
Sijui kuhusu uwezo wao kwahiyo siwezi kuwasemea. Lakini kuna Blocks nzuri sana za kuchonga. Na kama mchongaji ni mtaalam ni bora kuliko za kununuaNina Dt nabadili block, jamaa wa veta anasema wanachonga block vizuri, ushauri?
Sent using Jamii Forums mobile app