MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

Nnayo nauza bado kali haijaguswa engen
 
Hellow, khabar za saiz wakuu,,,
Naomba kujua ghalama zote (kuanzia cost za kununua, bima etc) za hii chombo. (Haojue EH 150) na mwenye specification zake [emoji120][emoji120]
 
Wazee nlikua naulizia Ubora wa Hunter 150 kwa weny uzoefu na piki piki
hunter inahtaji service kwa wakati ila nayo ni bonge ya mashine kwa wapenda speed unajikuta mtaroni kama sio mzoefu wa pikipiki nyepesi.
 
Hili mashine bei gani
Used au Mpya?

Used = weka mfukoni 5 to 9m (ndio uanze isaka)

Mpya = Sijui kama zipo ila usiahangaike tafuta mpya kama mfukoni huna 20m (twenty m)

Hizo sio beei halisi ila kama unaitaka hiyo mashine nzuri hiyo ndio bei elekezii yakitaa inaweza kuzidi hapo au kupungua.. Hasa kwa Used. Kwa mpya ujishike.
 
Tafuta tvs star 125 na haojue mayai zipo kibabe sana ila bei zake zimechangamka kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…