MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

Wazoefu bilashaka wakina Boxer na TVs hapa sio level yao.
Nichukue ipi Kati ya Blue(Ace125 Tax) au Nyekundu (Ace125 Individual)
 

Attachments

  • CYMERA_20240308_210843.jpg
    CYMERA_20240308_210843.jpg
    1,023.5 KB · Views: 53
Mafuta kwenye pikipik hutakiwi kuhofia hata kidogo hiyo cc 250 ya Mchina isikutishe, uzuri wake lipo juu juu comfortable miguu haijikunji sana. Pipiki ndefu changamoto ni kwenye resale ikichoka hata kdogo, ukitaka kuiuza utauza Kwa Bei ya kutupa sana coz hayana wateja wengi, hayauziki. Nunua tu
Nataka nijichange ninunue sinoray 250 cc kwa ajili ya matumizi binafsi shida isionekane kama bodaboda msaada anaejua ulaji wake wa mafuta na uzuri wa pikipiki yenyewe
 
Wakuu nataka niende dukani kuchukua pikipiki
Kati ya kinglion au sinoray ipi ni pikipiki nzuri kwa kubebea mizigo ya dukani tena barabara mbovu za porini pia kufika mashambani
 
Wakuu nataka niende dukani kuchukua pikipiki
Kati ya kinglion au sinoray ipi ni pikipiki nzuri kwa kubebea mizigo ya dukani tena barabara mbovu za porini pia kufika mashambani
Pikipiki ni pikipiki kikubwa matunzo kama unahitaji ya kwendea Bush shambani sanlg, sinoray,kinglion na haouj ila kama ofisini na kulia misele tvs na boxer zina show nzuri kwendea ata ukweni
 
Mimi nafahamu kuna pikipiki na bodaboda.
TVs,boxer Sanlan hizo ni bodaboda.
Pikipiki sichini ya mil5 like gari,ukipita mtu anajua kweli umepita inalia km Nyiki,vuuuuu haipo hata barabarani unaheshimika,najua wengi tunapenda urahisi lkn km nikwsmstumizi ya kawaida chukua pikipiki sibodaboda
 
Back
Top Bottom