Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei gani brand new?Tvs 125 ni moto wa kuotea mbali ikifuatiwa na haojue mninga, hizo ndo chuma za kazi na starrhe hapa nchini
Dah! Bila shaka umeshanunua,ningekushauri chukua HONLG au haujoe ila HONLG ndio mpango mzima.Wazee natamani piki piki ya shamba off road iwe inaimili mizigo kama mbolea ,mbegu lakin isiwe mchina wala muhind. kabisa wala isizidi M3.5 nasisitiza siyo ya bata,isiwe mchina wala muhindi ,isiwe gali
hapo unabakiza Mjapani...na kwa specs zako huwez pata mjapani kwa hiyo beiWazee natamani piki piki ya shamba off road iwe inaimili mizigo kama mbolea ,mbegu lakin isiwe mchina wala muhind. kabisa wala isizidi M3.5 nasisitiza siyo ya bata,isiwe mchina wala muhindi ,isiwe gali
. Mkuu. Naomba unipe sifa za Honda cg 125 gia 4, zinazotumia kickTwende pamoja kwa waliotumia na wanaotumia pikipiki tuu.
Kati ya hizi pikipiki unaipenda sana ipi na kwanini(based katika matumizi binafsi)?
1. Boxer
2. SANLG
3. Feckon
4. TVS King
5. Hero
6. King Lion
7. Houjo
---
---
---
---
---
---
---
---
---
Utafahamje kuwa haijafikisha mwaka mtaani, maana siku hizi meter zinasogezwa nyumaokay, basi utafute iliyotumika chini ya mwaka na haijafunguliwa engene. NB; uende na fundi unayemwamini akuhakikishie ubora wake
Hii pikipiki sijawahi kuikubali hata kidogoMkuu Umetaja Piki piki Nyingi tuu kama Boxer,Fekon,Sanlg,TVS,nk
Ila Mwisho wa yote Kuna Pikipiki moja inaitwa HOAUJUE...au Kiswahili wanasena "Haujue" Hii Pikipiki ni noma Asikwambie Mtuu,Uliza waendesha Pikipiki watakuambia.
Ni Imara,inapiga Mzigo na Nzito. Ikitulia Barabarani Hakuna na Boxer, TVS,au wala sijui nini atafuata hii. Niliwahi Siku moja Kupakia Mzigo wangu,gunia 2 za Nazi kwenye "Hoaujue" nami nikapanda Boxer, Tumeanza tuu Boxer akatupita akaenda mbali.
Baada ya kama Dk 7 hivi,lilitupita kama tunesimama, nikamwambia Dereva wa Boxer Aisee vipi ongeza mwendo Mkuu,akaniambia hiyo ni "Hoaujoue" taamka "Haujue" ni balaa siwezi fuata pale linapokuwa limechanganya!
Na ni BORA usipime! Yaani Imara!
Inavumilia kila hali!
Halafu labda magari, speedometer za pikipiki mbovu zinakufa tunanunua mpya (tunaozipenda) tunafunga zinaanza na sifuri!!!!.Utafahamje kuwa haijafikisha mwaka mtaani, maana siku hizi meter zinasogezwa nyuma
HIZI MPYA AU ZILE ZA ZAMANI?Honda
Kwa mujibu wa wadau wengi tvs 125 iko vizuri zaidi.kuanzia ulaji wa mafuta na speed kuliko tvs 150.Isipokuwa 150 in nguvu zaidi ya 125TVS 125 zipoje wakuu! Nataka nichukue
Nyepesi kuchanganyaTVS 125 zipoje wakuu! Nataka nichukue
Kwani we ni mwanachama hadi upateHivi vyuma naweza pata kweli!View attachment 2774235View attachment 2774236