MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

Wazee natamani piki piki ya shamba off road iwe inaimili mizigo kama mbolea ,mbegu lakin isiwe mchina wala muhind. kabisa wala isizidi M3.5 nasisitiza siyo ya bata,isiwe mchina wala muhindi ,isiwe gali
Dah! Bila shaka umeshanunua,ningekushauri chukua HONLG au haujoe ila HONLG ndio mpango mzima.
 
Wazee natamani piki piki ya shamba off road iwe inaimili mizigo kama mbolea ,mbegu lakin isiwe mchina wala muhind. kabisa wala isizidi M3.5 nasisitiza siyo ya bata,isiwe mchina wala muhindi ,isiwe gali
hapo unabakiza Mjapani...na kwa specs zako huwez pata mjapani kwa hiyo bei
 
. Mkuu. Naomba unipe sifa za Honda cg 125 gia 4, zinazotumia kick
 
okay, basi utafute iliyotumika chini ya mwaka na haijafunguliwa engene. NB; uende na fundi unayemwamini akuhakikishie ubora wake
Utafahamje kuwa haijafikisha mwaka mtaani, maana siku hizi meter zinasogezwa nyuma
 
Hii pikipiki sijawahi kuikubali hata kidogo
Kwenye mbio naipa kongole ila kwenye nguvu imeachwa mbali sana na pikipiki kama Kinglion sanlg, Skygo na Toyo.
 
Habari mwanajamvi

Kwa pikipiki ambayo yaweza kufaa kwa biasharaya boda boda na matumizi kama matembezi yako ambayo unaweza kuitumia bila stress yoyote ile Haojue x press 125 na TVS hlx 125 kwa sababu hazina fuel consuption kubwa

Kwa pikipiki yenye nguvu kwa mizigo jaribu sinoray 180.6, kinglion 150, na TOYO Power King 150.

Hizo pikipiki zote zina engine ngumu yenye life span kubwa. Asanten
 
Utafahamje kuwa haijafikisha mwaka mtaani, maana siku hizi meter zinasogezwa nyuma
Halafu labda magari, speedometer za pikipiki mbovu zinakufa tunanunua mpya (tunaozipenda) tunafunga zinaanza na sifuri!!!!.

Labda aangalie kadi kuhusu mwaka iloingizwa na ilotengenezwa, napo ni kama anaamini TRA wanafuatilia siriazi miaka ya pikipiki.
 
Nataka nijichange ninunue sinoray 250 cc kwa ajili ya matumizi binafsi shida isionekane kama bodaboda msaada anaejua ulaji wake wa mafuta na uzuri wa pikipiki yenyewe
 

Attachments

  • Screenshot_20240209-124933_Facebook.jpg
    163.2 KB · Views: 51
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…