MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

boxer then tvs then honlg(hizi nimeziona moshi tu wanabebea mirungi) toyo kisha upuuzi mwngine unaofuata ila cha kukushauri ni kwamba boxer na tvs spare zake ni ghali sana kama ni ya kazi ngumu bora uchukue honlg
 
boxer then tvs then honlg(hizi nimeziona moshi tu wanabebea mirungi) toyo kisha upuuzi mwngine unaofuata ila cha kukushauri ni kwamba boxer na tvs spare zake ni ghali sana kama ni ya kazi ngumu bora uchukue honlg
Asnt Brow
 
Kwani wapi nimetaja pikipiki ya mchina au ulimaanisha kum quote mwingine
Honda Cbr
Suzuki Hayabusa
KTM
MV Augusta
Kawasaki Ninja
BMW Adventure
Aprilia
Harley Davidson
Hizo ndio pikipiki achana na takataka za mchina
 
Honda Cbr
Suzuki Hayabusa
KTM
MV Augusta
Kawasaki Ninja
BMW Adventure
Aprilia
Harley Davidson
Hizo ndio pikipiki achana na takataka za mchina
Kat ya hzo nilizotaja
+ Haujo
 
jamani mi ni mfugaji wa kuku niko arusha nipeni tenda ,nauza vifaranga ,mayai ,kuku wa aina zote, karibuni pia samaki ukiweka oda unapata wabichi waliokaangwa kutoka hapa shambani kwangu nawakaribisha woote,mawasiliano piga 0766496263
 
Tvs inaka lita 1 km ngap wadau? Na pia kwa matumizi ipi nzuri kati ya Tvs 150. Na Tvs 125. Asante
Tvs mkao wako sio wa mzgo
Zote tuu znanguvu sawa ila 150 ndio nzuru zaid
Kwann usinunue haujo kama mimi walivyonibdl
 
Twende pamoja kwa waliotumia na wanaotumia pikipiki tuu.

Kati ya hizi pikipiki unaipenda sana ipi na kwanini(based katika matumizi binafsi)?
1. Boxer
2. SANLG
3. Feckon
4. TVS King
5. Hero
6. King Lion
7.houjo
Boxer ndo kila kitu Boss
 
Nunua Boxer mkuu tena ukipata cc100 au cc125 hutojuta kwa matumizi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…