Mjadala: Je, serikali inaweza kuwasaidia vipi vijana kujiajiri?

Ungepata access ya baadhi ya viongozi serikalini ambao husema vijana tujiajiri,wakupe majibu stahki,japo wao hushtuka pale kunapofanyika mabadiliko ya viongozi serikalini,kwa hofu ya kupoteza nyadhifa zao.
Rejea kauli ya Nchemba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…