Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Habari JF , Kiuhalisia matibabu ni gharama sana na tukisema pesa tunazochangia zigharamie kila kitu Changamoto zinazojitokeza katika matibabu tunayopata hazita kwisha .
Kuna kitu kinaitwa pesa ya kumuona Daktari au consultation fee , hii pesa inayolipwa kwa ajili ya kumuona Daktari haijalishi matibabu utakayo pata .
Kwa kifupi Mfuko wa NHIF kwa uzoefu wangu mdogo ni kwa Hospitali nyingi malipo ya hii pesa huzidi Malipo yanayofanyika hospitali husika kwa mwezi huo ya Vipimo na gharama ya operations . Kitu ambacho huwa kinakula pesa zaidi huwa Ni Dawa
Hivyo Mfuko kila mwezi hufanya malipo makubwa sana kwa ajili ya issue ya Consultations pesa ambayo kama isingelipwa ingeweza kulipwa kwa huduma Nyingine na tukazipata kwa UBORA MKUBWA SANA .
Hivi wanufaika mnaonaje tukawa tunalipia pesa ya kumuona Daktari:-
1. Huduma zikawa bora sababu pesa nyingi inakuwepo
2. Itasaidia kupunguza matibabu yasiyo sahihi ya Bima
Mfano tukamuona Daktari kwa 5,000 MD, 15,000 - kwa Daktari bingwa lakini ukaingia ukapata vipimo vizuri na huduma Nyingine kama dawa na Upasuaji?