Vilevile kuna wahutu waliouwa watu, damu za wanawake na watoto zinawakosesha usingizi..Huhu kuna watutsi kibao mjue, na hawapendi kuona mnamponda mungu wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vilevile kuna wahutu waliouwa watu, damu za wanawake na watoto zinawakosesha usingizi..Huhu kuna watutsi kibao mjue, na hawapendi kuona mnamponda mungu wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji copy ya hiki kitabu, napataje?
Nahitaji copy ya hiki kitabu, napataje?Ukurasa huohuo(73) mwandishi Marara anasema ingawa kuna watu walikufa kwenye hilo shambulizi hotelini wakiwa wanaangalia kombe la dunia, Kagame alikasirika sana sbabu halikwenda kama alivyo-plan sababu ya uzembe wa captain Kwizera liyekuwa amelewa hivyo akagiza fimbo za kutosha na alitoa Presidential Jeep yake kwenda kuchukua hizo fimbo, akwaagiza luteni Nkubito na Aimee Claude kumcharaza Kwizera fimbo 100, akashuhswa cheo na kuswekwa ndani baadaye akafukuzwa jeshini
Nahitaji copy ya hiki kitabu, napataje?
Weka icho kitabu humu ili twende sawa mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nahitaji copy ya hiki kitabu, napataje?
Akijaribu kufanya hivyo UK ataisoma namba kwa lugha zote.Aisee mwamba akijimix kuingia ubalozi wa Rwanda wanaweza kum-kashogi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia ni mwenezaji wa propaganda za genocide ulaya na amerika kupitia makanisa ya kipentekosti yaliyojaa wafuasi wa RPF, ukiwa mhutu kwenye hayo makanisa unaangaliwa kwa machale.Nilisoma kwenye gazette moja la Ulaya, Janet Kagame ndiye muendeshaji wa miradi ya familia. Huwa anasafiri sana kwenda Marekani kwa shughuli za biashara na kusimamia matibabu ya mume wake.
Tofauti na wake wa madiktekata wengine kama Grace Mugabe,Janet Kagame ana play a low profile. Hata shopping anafanya ya kawaida tu si kufuru.
Enzi zile ninakwenda club hawa members wa RPF walikuwa wanacheza pamoja kama kikundi. Hawaruhusu mtu asiye kwenye circle yao.Pia ni mwenezaji wa propaganda za genocide ulaya na amerika kupitia makanisa ya kipentekosti yaliyojaa wafuasi wa RPF, ukiwa mhutu kwenye hayo makanisa unaangaliwa kwa machale.
Wewe ni mtusi unataka tule matango yako tusile ya mshikaji.Poleni sana mnajaribu kutumia akili nyiiiingi.Huu mjadala kutoka kwenye hiki kitabu unanikumbusha kitabu kilichokususu utawala wa Raisi wa US, Donald Trump, "Fire and Fury, Inside the Trump White House". Hapa pia Mwandishi Noble Marara amefanikiwa kutulisha tunachopenda kula(kusikia) na naona kuna chumvi zaidi, na wengi wetu tunatekwa hapa kwasababu hatujaruhusu kuwa free thinkers tunaotoa nafasi ya kusikia na kujifunza kutoka pande zote za hadithi bila ku-take sides.
Hapa ndio unapofeli Mkuu, umesoma nilichoandika ila hujaelewa, hakuna mahali nilipopinga hoja za Mwandishi wa kitabu, nimesisitiza mtu kuwa na fikra huru ili uweze kujifunza unachosoma, sidhani kwa muhemko ulionao unaweza soma kitabu kingine chenye maoni tofauti na hiki. Kuwa huru kusoma na kujifunza.Wewe ni mtusi unataka tule matango yako tusile ya mshikaji.
Mkuu unaruhusu kutumiana namba ya simu? Kitabu kiko humu kwanini mtumiane kwa w/app?ok ni pm tu
Poa ila toa hoja sasa hata biblia inapingwa kulia kushoto na Yesu nwenyewe alipata shida,Hapa ndio unapofeli Mkuu, umesoma nilichoandika ila hujaelewa, hakuna mahali nilipopinga hoja za Mwandishi wa kitabu, nimesisitiza mtu kuwa na fikra huru ili uweze kujifunza unachosoma, sidhani kwa muhemko ulionao unaweza soma kitabu kingine chenye maoni tofauti na hiki. Kuwa huru kusoma na kujifunza.
Kagame nimemaindi sana alipo mpiga yule beki 3 makofi, had kafukuzwa kazi kwa general........
Yule dada nadhan Ni Yule mzuri kule ambassador choir
Kagame umezingua hapa......
Hats wakuu was vitengo walisikitika sana tatizo jamaa haambiliki ukimwambia ukweli umeenda. Kitengo kinahitaji reformation kubwa sasa kama ni ukweli humo ndani wamejazwa uvccm unadhani watashauri nini?mh labda TISS ya zamani sasa hivi kila idara serikalini inamsikiliza mtu mmoja,wangekuwa wanafanya kazi yao kimakini wasimgemruhusu jamaa kumkumbatia kagame kichwakichwa hivi ,najiskia hadi kutapika nikikumbuka alivyosema ataleta vijana wa Rwanda wa IT kwa ajili ya ATCL