sio kweli acha hizo, wote ni watoto wa mzee kagutaacha uongo wako salim saleh na museven wamechangia mama, baba tofauti baba ake ni muislam. na museven ni mkristo. hivi hujui museven ana mtoto moshi na mama yake ni mchaga?
Mkuu hauko sahihi. Salim saleh ni jina lake la kivita (nom de guerre). Ukiwa vitani inabidi kutumia jina la kivita tofauti na jina lako halisi. Hii ni kwa sababu mawasiliano (kwa wakati huo mainly radio calls) yanaweza kuwa intercepted na adui. Jina hili la kivita linatumika ili hata adui akisikia mazungumzo yenu asielewe chochote, kwa sababu majina mnayajua nyinyi wenyewe tu. Salim saleh lilikuwa ni jina la huyu bro la kivita.mdogo mtu alibadili dini
Watu mna maneno eti kau kau [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kau kau kumbe hata umalaya yumo
Ngoja tuoneTanzania kama siyo zenji ingekuwa hivyo, sis tunabadilishana vijiti.. hiki kigingi ndiyo kinacho mshinda magu kuibaka katiba na kuwa rais wa milele wavaa kanzu moto wao mnaujua
hahahahaah nimecheka, doooh museveni anakaogopa kishenzii....ujue kajamaa kamekaa ki hitler hitler hivi....sema kagame ni bonge la rais, yaani mwanaume unapaswa kua hivi haueleweki eleweki ukizinguliwa mtu anajijua muda wa kutubu umefika.angalia sekunde 27 museveni anaogopa hata kumsalimia,sijui alihisi sumu?
Anaitwa 'Laurent Nkundabatware'!Kwa kutia nyama kidogo Lora Nkunda yule alikuwa kiongozi wa M23 ni ndugu toka ntoke na Kagame.
Sent using Jamii Forums mobile app
Operation kubwa ya kwanza kuondoa Wanyarwanda Tanzania ilifanywa na Mkapa. Kwa mara ya kwanza Wanyarwanda hawakuamini wazee wa kazi FFU na JWTZ walichowafanyaMatola umezaliwa mwaka gani kama bifu la Kikwete na Kagame hulifahamu? Kwa mara ya kwanza raia wa Rwanda walifukuzwa nchini magari ya uhamiaji yalikuwa yametanda nchi nzima kuwasaka raia wa Rwanda. Kitabu hiki kinaeleza uharisia wa Kagame hata kama leo hii ndiye rafiki mkuu wa Magu
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo ya G bush how?Yeah ilo linajulikana,hata George Bush the second ana mtoto moshi,amezaa na mama mmoja marangu
Naungana na wewe kuhusu mwandishi kuongeza chumvi ila mengi alioeleza yana ukweli mwingi ndani especially kuhusu ukorofi wa kagame na vurugu zinazoendelea mashariki mwa kongoHuenda ni kuchafuana tu! Si kila kitu cha kuamini huenda mwandishi kazidisha chumvi ili kumpaka matope adui yake.
Chief hujui hta kuunganisha matukio? Hebu jiulize kwanini wasaidizi wengi wa kagame walikuwa wanauwawa kwenye mazingira ya kutatanisha? Ni kipi hasa kinachosababisha kagame kuwa mkorofi kwa majirani zake? Na vipi kuhusu wale viongozi waliogombana na kagame na kukimbilia south africa ilikuwaje mpaka wakashambuliwa na mmoja kuuwawa? Tuachane na hyo yote tujiulize kipi kinachosababisha vurugu kutoisha mashariki mwa kongo?Ngumu kung'amua hilo mkuu! Kila mwandishi anaandika kile anachotaka watu wafahamu maana yeye ndio anachagua kipi aandike na kipi aache.
Chief kama hujakisoma hicho kitabu kipakue usome, kifupi ni kuwa mwandishi wa hicho kitabu kuna mambo mengi ameeleza ambayo ukiunganisha dots unaona kbsa kuna something wrong about kagame leadershipAcheni propaganda mna uhakika kilichoandikwa humo ni ukweli???
Hamna tofauti na wapiga kahawa wa kijiweni jamaa kama ana uhakika kagame kaua watu wote hao si ampeleke mahakamani??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Chief hiki kitabu nimekisoma chote ....to be honest licha ya mwandishi kuongeza chumvi hpa na pale lakini vitu vingi alivyoeleza ukiunganisha dots utaona kbsa kagame ana kesi ya kujibu, especially kinachoendelea eastern kongo na ukumbuke kuwa so far kagame alishagombana na Tanzania, burundi na hivi karibuni uganda hii inakuonyesha kuna kitu hakipo sawa kwenye uongozi wa kagameHuu mjadala kutoka kwenye hiki kitabu unanikumbusha kitabu kilichokususu utawala wa Raisi wa US, Donald Trump, "Fire and Fury, Inside the Trump White House". Hapa pia Mwandishi Noble Marara amefanikiwa kutulisha tunachopenda kula(kusikia) na naona kuna chumvi zaidi, na wengi wetu tunatekwa hapa kwasababu hatujaruhusu kuwa free thinkers tunaotoa nafasi ya kusikia na kujifunza kutoka pande zote za hadithi bila ku-take sides.
Kagame alipiga simu kwa daktariEmbu funguka kidogo Mkuu, sijakuelewa. Ina maana waligombania mwanamke?
Kagame alipiga simu kwa daktari wake akapokea beki tatu wake akamjibu mbovu bila kujua anaeongea nae ni raisi wa nchi ....kagame kwa hasira akawasha gari yake mpaka nyumbani kwa daktari na kumpa mabanzi ya kutosha beki tatuEmbu funguka kidogo Mkuu, sijakuelewa. Ina maana waligombania mwanamke?
Hivi inapata nini au raha gani kutumia lugha yenye ukakasi kama hii? Ukitafutwa ushugulikiwe utaanza kupiga mayowe kama mwanamkeHuyo pk inatakiwa apigwe marufuku ya kukanyaga bongo maana amempandikiza roho mbaya huyu mwenye bichwa ka korosho si mnaona wenyewe lilivyo na roho mbaya, sisi watanzania hatuna roho mbaya namna hiyo. Sasa pk yupo mbioni kung'olewa maana siku zake zinahesabika sasa huyu fala wetu kama hajifunzi itakula kwake.
Atakaye poteza muda kunitafuta atakuwa chizi, kunishughurikia kwa lipi? Ndio hayo mambo ya kishamba ya kutekana tekana mmeteka na kuua wangapi je watu wameacha kuonesha hisia zao? Zaidi zaidi wanazidi kuongezeka ila wewe unaendelea kujiongezea maadui.Hivi inapata nini au raha gani kutumia lugha yenye ukakasi kama hii? Ukitafutwa ushugulikiwe utaanza kupiga mayowe kama mwanamke
Huyo jamaa atakusumbua sananimekuuliza swali unaniambia niweke ushahidi,hukumsikiarafiki yake kagame siku anapokea bombardier ya kwanza alichosema kuhusu kuleta vijana wa IT toka Rwanda ku operate ATCL?hilo la Rwanda kuwa na office special bandarini na kahama hulijui nalo?