Kagame kawasaidia sanaa hao jamaa, ni rais wao anaestaili na kufaa, alipowatoa kunatisha, lakini naona haya hayazuii kua ka jamaa ni ka genius haswaaa,,, kwa tulio wai kusoma vitabu vya gaddafi akiwa bado hai ata hatushangai, ni kawaida kuandikwa viongozi wanaojitahidi,,,iv inaingia akilini mlinzi huyu huyu kuendelea kuyajua mambo hadi ya 2015 baina ya rais na marais wenzake hahaha,,,, too bad kuna watu wanajiita wana wa israel huku africa wakati mambo wanayowafanyia wapalestina, wote dunia nzima tungepaswa kuwapiga vita hawa watu, lakini waafrica tulivyo wajinga bado tunawaona wakina George Bush ni bonge la ma viongozi, wakati watu kama hao waliiuaa mamilion ya waarab huko middle east.
ka kagame kana fight watu wake ambao ni wachache wasiuliwe wote, kasingefanya ivyo wangekaua kenyewe,,, trust me ka kagame kapo mbele ya muda kushinda viongozi wote africa, kanavyoishi na ugaidi kanaoufanya ndio ule ule unaofanywa na wakina putin nk. nk. nk.