Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani!! Hv? Hakuna m2 yeyote wa JF ambaye amefika huko a2juze zaidi? Kwn hz tetesi zimekuwa gumzo sana hp A town na nimepata kusikia ya kwmb nauli mpk kwa huyo Mchunga kondoo wa Bwn ni Tsh.70,000 nendaHapa Arusha, Gumzo kuu ni hiyo dawa, na inaonekana kuna ukweli kuhusu matibabu yake.
Walioenda wanashuhudia hivyo na sisi wengine ambao pia tuna matatizo yanayofanana na hayo ni vizuri tukaanza sasa kufunga safari ya kwenda huko badala ya kujivutavuta mwisho tukute mtoto si wetu.
Ni bora kuamini kwamba Mungu yupo halafu usimkute kuliko kutoamini Mungu yupo halafu ukamkuta. kwa hiyo ni heri kwenda huko tukapate hiyo Dozi bila kujiuliza uliza gharama za kwenda huko.
Bahati mbaya ni kwamba baada ya kupata dozi kama ugonjwa wako ni HIV, unatakiwa uache kale kamchezo, maana ukiupata tena ile dawa haitibu twice. Kazi kwenu
Jamani!! Hv? Hakuna m2 yeyote wa JF ambaye amefika huko a2juze zaidi? Kwn hz tetesi zimekuwa gumzo sana hp A town na nimepata kusikia ya kwmb nauli mpk kwa huyo Mchunga kondoo wa Bwn ni Tsh.70,000 nenda
rudi.
Ulipotea siku mbili tatu ulienda nini? lolhii ni kweli kabisa niliambiwa na jirani yake wa huko loliondo na dose is taken only once.
ni usafiri tu au anachukua kabisa na gari?Habari ni za kweli na watu wanaenda.anaetaka kwenda aniPM nina usafiri wa kwenda huko kutokea Arusha mjini 70000.
kama itakuwa wkend unijulishe mkuu.........HTML:
Binafsi sijui, lakini nina mpango wa kujitolea kwenda huko na siku hiyo nitawaletea laivu hapa JF
kama itakuwa wkend unijulishe mkuu.........
Toa ushuhudaJamani kuna mzee mmoja huko Loliondo anatibu magonjwa mengi hadi ukimwi kwa shiiling 500 tu.....haitaji zaidi ya hapo.
contact za huyo doctor?
Loliondo sehemu ganiKuna ndugu mmoja( Askofu mstaafu wa K.K.K.T) au maarufu kama Doctor anakaa wilaya ya Loliondo mkoa wa Arusha anatibu magonjwa yote sugu kama Ukimwi,kisukari,magojwa ya moyo,mifupa,ini,figo n.k kwa muda mfupi. Maelfu ya watu kutoka sehemu mbali mbali za nchi,uarabuni,ulaya wanamimini. Binafsi kuna mzee wangu alikuwa na kisukari amepona kabisa. Bei ya dawa ni shilingi mia tano tu.