Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

basi inatosha mtoa mada kisha waelewa, na kama kakosea yuko anajutia hilo na kama ni la kweli litasikika. Tusimchambue na kumdharau sana, busara za kweli ni kuwa ukiona mtu kakosea mfundishe na sio umtukane.
 
Nimepata taarifa kwamba waliokunywa dawa ya abu wa liliondo sasa wanaanza kuumwa na matumbo. waanza kuvimba. TAYARI Jjamaa, ndugu na marafiki wa karibu wanafanya harakati za kumkimbiza muhimbi ili aangalie nini kimezidi. lkn anavyosmea yeye mwenyewe kwamba maumivu hayo yamekuja baaa ya kunywa dawa hiyo.haya nimeyapata kutoka kwa mmoja wa mtumiaji AMBAE AKIIMWA NA UKIMWI.
Anything is possible na dawa hiyo kwa vile ni mkono wa shetani unaofanya kazi.Yeyote anayekunywa dawa hiyo ajiandae for the worst.Ni bora kumkimbilia Mungu wa kweli kwa uponyaji kuliko shetani.
 
Toa uthibitisho,au ipeleke kwenye tetesi.Nyie ndio mwatumiwa vibaya na wenye wivu.Utakuwa mganga wa kienyeji.
 
Generali is right.ustaarabu wa karne hii hauendani na utumbo anaofanya babu.

... Ustaarabu kwa mujibu wa nani?? Wazungu?? 'emacipate yourself from mental slavery, none but ourself can free our minds'!
 
Nimepata taarifa kwamba waliokunywa dawa ya abu wa liliondo sasa wanaanza kuumwa na matumbo. waanza kuvimba. TAYARI Jjamaa, ndugu na marafiki wa karibu wanafanya harakati za kumkimbiza muhimbi ili aangalie nini kimezidi. lkn anavyosmea yeye mwenyewe kwamba maumivu hayo yamekuja baaa ya kunywa dawa hiyo.haya nimeyapata kutoka kwa mmoja wa mtumiaji AMBAE AKIIMWA NA UKIMWI.

Acha kuropoka wewe, hizo taarifa umezipata wapi? Kwa Kibonde? Halafu udini mnaouendekeza haufai na hauna maana nilitegemea mjinga kama wewe ambae unaweza hata ku log in humu ndani ungekuwa na adabu kumbe ni bure kabisa hivi inakuaje mnakua mnawaza na kuleta upuuzi umu ndani? Mnaboa na kutia hasira mbona nyinyi wenyewe karibu kila msikiti kuna viduka mnauza madawa yenu ya asili kuna mtu anayekuja na ku criticise humu? Sikulaumu maana ulianza kwenda chuo kabla ya kuanza darasa la kwanza.
 
"(MHADHIR)I" wa kijiweni ama???, huyo GF wako ulimchokonoa sana au pengine anajiandaa kwa kale kasafari ka kila mwezi! hacha watu wapone, "walioenda kwa babu ni wengi sana" so ikitokea defect kwa mtu mmoja au kumi wala sioni ajabu: muulize vizuri labda AKULIPIA DAWA au amevuruga sharti!! siyo vema kukurupuka- WANANZUONI hawakurupuki!! labda wewe ni MWANACHUO! TUPE DATA AMBAZO NI REPRESENTATIVE hapo tutakuelewa!:lol:

MUHADHIRI wa Madrasa Al Nuur
 
Huyu jamaa namjua ni mwanafunzi wa elimu ya watu wazima, ndio kwanza anajifunza kuandika hivyo mpotezeeni
 
Nimepata taarifa kwamba waliokunywa dawa ya abu wa liliondo sasa wanaanza kuumwa na matumbo. waanza kuvimba. TAYARI Jjamaa, ndugu na marafiki wa karibu wanafanya harakati za kumkimbiza muhimbi ili aangalie nini kimezidi. lkn anavyosmea yeye mwenyewe kwamba maumivu hayo yamekuja baaa ya kunywa dawa hiyo.haya nimeyapata kutoka kwa mmoja wa mtumiaji AMBAE AKIIMWA NA UKIMWI.

Huyo ndugu yako mwambie akatibiwe na majini ya SHEIKH YAHYA.
 
Mkuu mwambie huyu mungu ni mmoja,awe wa babaake ama wake yeye.Je anaweza kuelezea kwa nini wachungaji au mapdre hubariki kwa maji ya bararaka? Yana kemikali yale? Na kwa dua za waislamu je zinafanyaje kazi? Zinaweza kupimwa zile..ama anaona baba yake kujaribu tiba atapoteza nin? Anaweza kucompare nauli na mateso anayopata?

Itafaa nini mwanadamu kupata uzima wa muda na vyote viijazavyo dunia na kuipoteza roho yake ambayo itaishi milele? Naomba kuwaeleza kuwa my father was in a critical condition at Nairobi hospital and was discharged kwa kuwa hakuna msaada zaidi ya kusubiri siku zake of which cancer was aproaching his spinal cord. At that particular state was sent back home where I had to travel to see him for I was outside the country. Nilifanya jitihada kutafuta wachungaji niende nao kumwombea. Kila niliemweleza alikuwa na tight time table. I had to go as everybody was not knowing what to do; huku madaktari ndani ya familia yetu wakishauri akapigwe mionzi. Lakini the same bother 9ambaye leo amempeleka Loliondo) akakataa kwani yy ndo alikuwa nae Nairobi na aliambiwa katika state ile na umri wake mionzi lazima imchukue. So my brother alikuwa na tumaini moja tu kwamba mimi nikamwombee for he once got saved from my prayers. Kwangu it was a challenge for my faith was not there labda kwakuwa ni baba na hofu ilikuwa imenijaa. I had to...Guess what after two months of pain and no normal feeding...maumivu yakaondoka and he ate his food kwa mara ya kwanza. Hali ikaenda inaimarika mpaka akaweza kutembea na hakuwa na maumivu.

Sasa hapo ni kipi kinampeleka Loliondo? A person who was bed ridden leo ameweza kutembea no pain anasahau hiyo neema na kwenda Loliondo to make sure eti anapona kabisa hiyo kabisa ni ipi? Doent this show short of faith? Well am not blaming him lakini I can see how its easy for christians to be swayed by miracles na kusahu the basics za christianity ambayo ni kumjua Mungu na nguvu zake. Kama leo unashindwa kujua kuwa ni Mungu amekuponya na huhitaji mzizi ku complement nguvu za Mungu basi kesho likija lingine utakimbilia huko. Ni kama mwanamke anayeshindwa kumstahi mumewe akipata shida na hivyo kwenda kwa mwingine asiyemjua ili apate vilivyopelea kwa muda huo huku akimwacha mumewe kwa kisingizo cha matatizo. Nobody can complement your husband kama huwezi kumpa heshima yake kwa kuvumilia basi ujue hata yeye kesho atashindwa kusimama mbele ya wenzake na kudai kuwa yeye ni mwanaume kwakuwa mkewe amemvua nguo hadharani.

Vile vile na Mungu hawezi kujivunia na mtu ambaye anampenda kwa kutaka ishara tu bila kupenda kujua chanzo cha hizo ishara. Kumbuka neno la Mungu lina sema, God was known by Musa in his ways but to the children of Israel by miracles. Alfu kwenye new tastament anasema in 1cor 1:22-23 For Jews require a sign and Greeks seek after wisdom: But we preach christ crusfied, unto Jews a stumbling block and unto the greeks foolishness. Going through JF utaona Jews: wapenda ishara ambao wanajaustify watu waende kwani Mungu ndo ameleta msaada na Greeks: wanaojidai science ndo ithibitishe kama kweli hiyo ni dawa au la!

Please christians let us be rooted in the word of God. Let us know our God's Love in length, breadth and depth which is His fullness. Refuse to be carried away by winds and unknown teachings.
 
Mbona Mahita, Makongoro Mahanga, Mrema na wengine wale hawavimbi matumbo, mzazi nenda kajipange upya na majungu yako uje kivingine
 
acha udini. Lkn hata yesu hakuwahi kuwahdaa wanachi kama anavyofanya babu,. Baya zaidi hata majitu yaliosoma udms wakiw na maprof lkn kwa kuwa wakiristo wanaingia kwenye tego huu.

Huna jipya nenda kanywe gahawa na kashata za kungu urudi umerembua labda tutapata ht picha kuwa unahitaji nn?
 
Tunamjua sana Generali...awahi tu akapate kikombe maana mauchafu yake na vilivyomo amshukuru Mungu....dawa imesogezwa wala hatabomoa bank....
 
he!! We una lako jambo na huna muda mrefu hapa, we si upo kule unatetea gazeti la ANNUR? Kwanza ushajiandaa kesho kwenda kuandamana?
Kwani wanaompinga babu ni gazeti la waislamu la ANNUR peke yao au?mbona hata kakobe kamuita ni Deci?au naye alipata kwenye annur?
 
Ben Mkapa aliwahi kusema kwamba wandishi WENGI wa TZ ni vilaza na wamevamia fani.

Mtu anaweza kuandika habari na akasema kwa mfano ''inasemekana majeruhi kadhaa wamelazwa Muhimbili'' badala ya kwenda Muhimbili physically na ku-confirm kama kweli majeruhi wapo, na idadi yao. Naona Jenerari hapa kakurupuka tu kwa ''habari za kusikia mtaani''

How Jenerali associated ''Babu'' with something like DECI is beyond me.
 
Nimepata taarifa kwamba waliokunywa dawa ya abu wa liliondo sasa wanaanza kuumwa na matumbo. waanza kuvimba. TAYARI Jjamaa, ndugu na marafiki wa karibu wanafanya harakati za kumkimbiza muhimbi ili aangalie nini kimezidi. lkn anavyosmea yeye mwenyewe kwamba maumivu hayo yamekuja baaa ya kunywa dawa hiyo.haya nimeyapata kutoka kwa mmoja wa mtumiaji AMBAE AKIIMWA NA UKIMWI.
Pengine si muumini huyo kama wewe na mimi!
 
pengine si muumini huyo kama wewe na mimi!

1. Kodo lyako huelewi chochote, yaani uko km wepa za gari tena jeifong.

2. Kwa vyovyote wewe utakuwa unapumuliwa kisononi.

3. Km sivyo, baisi umekalia kitu kigumu ktkt ya makalio yako kinakufanya uwe kihereherehre
 
Isije ikawa alipuuza masharti ya Babu akarejea kunywa dawa zaidi ya mara moja... :juggle:
 
Kwani wanaompinga babu ni gazeti la waislamu la ANNUR peke yao au?mbona hata kakobe kamuita ni Deci?au naye alipata kwenye annur?

Endeleeni kupinga, wenzenu wanapona! Babu anakupa dawa unarudi kanisani au msikitini kwako, kama una dozi yako ya hospitali unaendelea nayo. Nenda ukaponywe na kakobe alafu usikilize masharti yake
 
Back
Top Bottom