TATE
Member
- Aug 11, 2010
- 89
- 17
Jenerali anajaribu kuwaonya tu kutorukia vitu bila kufanya uchunguzi, hata kama babu anasema ameoteshwa na Mungu, Je hii ni sababu tosha ya kuamini kweli uwezo wake umetoka kwa Mungu wa Abraham, Isakah na Yakobo, Mungu wa ISRAEL, je akitokea mwingine na mwingine tena je ni dhambi kuhoji kama wametumwa na Mungu huyu wa kwenye BIBLIA, Kumbuka hata shetani anaijua mistari yote ya kwenye biblia, wala haitaji kuisoma, anaitoa kichwani, tuwe waangalifu ndugu zanguni, tumezungukwa na uovu kila kona na unakuja kwa njia tofauti tofauti.