Haya mambo ya imani ni magumu sana kwa sababu kila mtu ana tafsiri yake juu ya maandiko ndo maana kuna wengine wanapinga kwa nguvu hiyo tiba ya babu, Wengine wanadiriki hata kusema ni nabii wa uongo. Kwa hiyo inategemea inaweza kuwa kweli au si kweli nani ajuaye?
Mkuu! Bila shaka ndiyo yenyewe.Ufunuo wa Yohana sura 22:1-2 umenena hivi 'Kisha yule malaika akanionyesha mto wa maji ya uzima ung'aao kama kioo na kutiririka kutoka kwenye kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-Kondoo, 2kupitia katikati ya barabara kuu ya mji huo. Katika pande zote za mto huo kulikuwa na mti wa uzima utoao matunda ya aina kumi na mbili, na kuzaa matunda yake kila mwezi. Majani yake ni ya kuwaponya watu wa mataifa.
My take:
kwa imani yangu ya Kikristu nashawishika kusema kuwa huo mti ulioongelewa hapa ndiyo mchungaji Ambilikile Mwasapile anautumia katika hiyo tiba. Je wadau mwasemaje?
Ufunuo wa Yohana sura 22:1-2 umenena hivi 'Kisha yule malaika akanionyesha mto wa maji ya uzima ung'aao kama kioo na kutiririka kutoka kwenye kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-Kondoo, 2kupitia katikati ya barabara kuu ya mji huo. Katika pande zote za mto huo kulikuwa na mti wa uzima utoao matunda ya aina kumi na mbili, na kuzaa matunda yake kila mwezi. Majani yake ni ya kuwaponya watu wa mataifa.
My take:
kwa imani yangu ya Kikristu nashawishika kusema kuwa huo mti ulioongelewa hapa ndiyo mchungaji Ambilikile Mwasapile anautumia katika hiyo tiba. Je wadau mwasemaje?
Mungu alipounda dunia alikaa kutumia sayansi?
Alibadili maji kuwa wine
Watu vijijini kutwa wanakunywa miti shamba leo ndo wanataka wa babu
Muendao kwa babu nendeni na IMANI na msisahau kusali etc
Isije ikawa kwa kutumia pesa yake walihonga wakavuka foleni halafu ndio ikawa hivyo..
Nenda wewe na maradhi yako halafu uje utueleze umepona nini na dr wako athibitishe!
Hee jamani jamaa si ameomba ushahidi kabla hajaenda!! Sasa kama wewe NATA umeenda na kupona si uweke mambo hadharani ili iwe fundisho kwa watu wasio amini na wenye nia ya kuto amini!!
Na pengine ndio wale waliokuwa wanatumia umaarufu hawafati foleni maana nilimsikia babu akisema ukitumia umaarufu na kuwapita wengine waliokutangulia huponi inabidi kila mtu aende kwa foleni.imani ndugu... Na dhambi kama uazo nyingi huponi
' but we jamaa tupe source or link
Wakati watanzania wakimiminika kwenda wilayani Loliondo,kwa Babu kupata dawa inayodaiwa kutibu magonjwa sugu, Mbunge wa Igunga (CCM), Rostam Aziz ameibuka na kusema tiba hiyo haina lolote akidai kwamba ndugu zake watano wameitumia lakini hajapona hata mmoja.
... "Ndugu zangu wananchi wa Igunga, mimi mjomba wangu Hassan mnamfahamu karibu wote hapa mjini ni mgonjwa wa siku nyingi wa kisukari. Ameshakunywa dawa hiyo lakini mpaka sasa ni mgonjwa kama mnavyomuona sasa hiyo dawa inaponyesha nani?"
Nenda wewe na maradhi yako halafu uje utueleze umepona nini na dr wako athibitishe!