Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....Lakini pia hakuna mtu aliekufa kutokana na dawa hio, hivyo kama haiponyeshi kama mnavyotaka ushahidi tukubaliena pia kuwa hio sawa sio sumu kama wizara ilivyowahi kuripoti!!!!
Bottom line ni watu waliokunywa KUPONA aMA LA!...Mengineyo ni maneno mbofumbofu!
Tunachotakiwa sasa ni kucross-check iwapo vipimo vya hospitali vinaonyesha hawana magonjwa yao !
Single doze ya kienyeji sijawahi kusikia ila kwa huyu babu.
nani awezaye leta ushahidi wa kisayansi kuwa alikuwa na MAJINI/MAPEPO na sasa hayapo tena?
WApendwa wana JF, Naomba kama kuna mtu aliyekuwa anasumbuliwa na saratani na akabahatika kupata tiba kwa babu Loliondo, atuthibishie kuwa kwa sasa hajambo saana. Anaweza kutupatia pia ushahidi wa kisayansi kuunga mkono ushuhuda wake. Ushahidi huo unaweza kuwa ni picha za X-rayau report ya Daktari ya kuthibitisha kuwa kweli amepona au kuna unafuu mkubwa wa ama kulimit kusambaa kwa saratani au kuimaliza kabisa. Jamani naomba hili nikijua kuwa tiba hii inafanya kazi kiimani zaidi. Hivyo tunaomba ushahidi na sisi wengine tuweze kuamini. So far sijasikia au kuona ushahidi wa kisayansi kuthibitisha uhakika wa tiba ya babu zaidi ya shuhuda za maneno tu bila evidence.
wewe nenda kanywe kikombe ukisubili mpaka ushahidi wa kisayansi it will be too late na dawa itakuwa imeisha
Nenda wewe na maradhi yako halafu uje utueleze umepona nini na dr wako athibitishe!
Nenda wewe na maradhi yako halafu uje utueleze umepona nini na dr wako athibitishe!