Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Hata mimi nitaanza kugawa vikombe sasa. Inaonekana ni biashara nzuri
 
Hizo tafiti zilifanyika kabla ya babu hajaanza kutibu?
Hazikufanyika Tanzania?
 
Tatizo kubwa sana la maendeleo Africa ni kuwa na tafiti nyingi ambazo hazifanyiwi kazi. Tuna taarifa ya tafiti nyingi katika fani nyingi lakini taarifa hizo zinabaki mapambo katika maktaba!.

Kwa kweli ni huzuni.
 
Hakuna neno ni ulimwengu wa biashara huria. Anayeshindwa ataachia. Kwa hali ya loliondo naomba biashara ya vikombe iibuke kama biashara ya bar sinza na yadi za magari barabara ya ali hassan mweinyi na kinondoni.
Ili kila aaminiye katika kikombe akakipate kiurahisi.
Amina
 
Hizo tafiti zilifanyika kabla ya babu hajaanza kutibu?
Hazikufanyika Tanzania?

Tafiti nyingi zimefanyika Kenya. Kuna Pepa kadhaa, ya mwaka 2006, 2010 n.k Nadhani zimefanyika kabla hawajapata taarifa za babu...
 
Kingekuwa kenya hiki kikombe kwa ubepari wao wangekuwa wameanza kujiingizia kodi na kutangaza dunian kuwa hicho kikombe ni bora watu wakakifikia dunia nzima.

Wivu wa wakenya huu!
 
Hawa wakenya ni wanafiki sana.
Mara wamechakachua article fulani na kusema wao waligundua hii dawamwaka 2006 na walikuwa wanangoja kibari cha WHO.

Wameona babu anazidi kupeta na Tanzania inaanza kujulikana kwa kasi kuliko hata enzi za mwalimu, wanaomba bau afungiwe.

Akifungiwa babu tu wataaanza wao kuitangaza hii dawa na kudai patent right.

Kwa akili zao wanasema wanataka kutengeneza barabara ya kufika Loliondo, wataanza kutangaza dunian kuwa loliondo ni kenya , kama wanavyotuibia mlima Kilimanjaro.

Watch out, Mkenya hatari kabisa!
 
Wanahisi biashara yao ya utalii itakuwa mashakani kama wateja wengi kutoka ulaya wakienda kwa BABU!
 
...Maandiko matakatifu yanasemaje ukiona dalili kama hizi..?!
 
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
kwa walijuao neno la mungu wala haya sio mageni masikioni mwao maana kama vile nabii isaya alivyotabiri kuzaliwa na kufa kwa mwokozi wetu Yesu miaka mingi kabla ya kuzaliwa kwa mwokozi ndivyo manabii walivyoturahisishia mambo kwa kututabiria mambo haya.
wenye macho ya rohon wataweza kupaona penye nuru na palipo na giza.
mwenye macho na aone,mwenye masikio na asikie.
 
Nilishakuuliza kama umeokoka siku hzi...mbona hukunijibu?
 
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
kwa walijuao neno la mungu wala haya sio mageni masikioni mwao maana kama vile nabii isaya alivyotabiri kuzaliwa na kufa kwa mwokozi wetu Yesu miaka mingi kabla ya kuzaliwa kwa mwokozi ndivyo manabii walivyoturahisishia mambo kwa kututabiria mambo haya.
wenye macho ya rohon wataweza kupaona penye nuru na palipo na giza.
mwenye macho na aone,mwenye masikio na asikie.

Barikiwa sana!!!
 
Wanaangamizwa na si wanangamia.

[.QUOTE=cheusimangala;1778668]watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
kwa walijuao neno la mungu wala haya sio mageni masikioni mwao maana kama vile nabii isaya alivyotabiri kuzaliwa na kufa kwa mwokozi wetu Yesu miaka mingi kabla ya kuzaliwa kwa mwokozi ndivyo manabii walivyoturahisishia mambo kwa kututabiria mambo haya.
wenye macho ya rohon wataweza kupaona penye nuru na palipo na giza.
mwenye macho na aone,mwenye masikio na asikie.[/QUOTE]
 
Dah!! Hapa kweli inabidi kuanza kujiuliza mara mbilimbili.......
 
Back
Top Bottom