Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Kama ni kweli nchi za magaribi itakuwaje! Inavyoelekea watu wanapona sema ushahidi bado! Tunahitaji mtu aliyepona aje live atuhabarishe!
 
Kama ni kweli nchi za magaribi itakuwaje! Inavyoelekea watu wanapona sema ushahidi bado! Tunahitaji mtu aliyepona aje live atuhabarishe!

Aje api? fuatilia vyombo vya habari utayapata yote hayo.
 
Kama ni kweli nchi za magaribi itakuwaje! Inavyoelekea watu wanapona sema ushahidi bado! Tunahitaji mtu aliyepona aje live atuhabarishe!

Hamna haja ya mtu kuja kutoa ushuhuda, kwenye familia zetu tuna wagonjwa wa kisukari, shinikizo la damu, waliopooza, wa ukimwi nk. sisi tulio wazima tuwagharamie wakapate dawa wakirudi familia husika itakuwa na jawabu kama dawa inatibu au la.
 
watu wanaenda tu lakini sijasikia hat ammoja akisema kuwa amepona....kama kuna mtu amepona basi aje alete ushuhuda hapa ili tujue kinachoendelea hapa tz.
 
Imani ndio inaponya; kama huamini kaa ulivyo, kama utaaamini basi neda na sio kungoja mpaka watu waje washuhudie ndio uamini; u-Tomaso huo
 
Kuna tetesi kuwa tiba ya babu haitibu watu wenye madhambi mbalimbali. Hii inaweza kuwa sababu ya tiba hiyo kutotibu baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi na wadhambi wengine. Mfano RA anaiponda dawa ya babu kutotibu ndugu zake je kama ametumia fedha za ufisadi kulipia tiba hiyo itatibu kweli?Wenye uelewa zaidi watujuze.
 
Inadaiwa kuwa mizizi ya Kitanzaniya ina uwezo wa kutibu baadhi ya maradhi ambayo ni tishio kwa uhai wa binadamu kama kisukari, UKIMWI....Sasa Loliondo kimekuwa ni kituwo cha rufaa, kwani baadhi ya wananchi toka sehemu mbalimbali, viongozi wa vyama na serikali wamekwenda kwa Babu kuonja maji yanayoaminika kuwa yakichanganywa na mantindili watu huponywa kwa magonjwa yanayo wasibu.
Kwa mantindili anayoyatowa Mchungaji kwa kipimo cha kikombe kimoja na kuagiza kuwa imani yako imekuponya enenda kwa msaada wa Mola, huko ndiko tujenge hospitali ya rufaa ili tuache kuruka kwa ndege kwenda ulaya na Asiya ili kupata tiba. Kama hapatoshi viwanja tuelekee hata Sumbawanga.
 
Nimerudi states na nimefika leo kutoka Loliondo na babu anatibu na haihitaji maswali. Kwani ARV tulimhoji nani? Tuelimike na tuache kuwapongeza wazungu na dawa zao za kizung za kuzuga.
 
Ugonjwa ni siri ya mtu na daktari wake. Ana uhuru wa kuweka hadharani au kukaa kimya. Lakini tuna ndugu zetu waliokwenda huko na wamepona kabisa.
 
Hawa si miungu watu, hivyo Mungu wetu hawezi kujalia. Mungu hawezi kukupatia akili ukazitumia kuibia watanzania ukaishi maisha ya asali na maziwa kwa jasho zao na kisha akakupatia usiugue magonjwa. Hii ni ishara kuwa ni mafisadi. JIBU SAHIHI: Dawa ya Babu inatibu wale wote waso-mafisadi ama wametubu na kurudisha imani kwake. Rostam hawezi kujua hili. Msaidieni.
 
Nini mjombake bana eende akanywe ka hatarudi kwenye kikapu. Tanzania itaendelea baada ya ku mu ignore RA! kani nini bana
 
mi kuna jamaa angu wa karibu anasema toka ametoka loliondo sukari iko 16 ni wiki ya 3. Yaani hajapona kabisa.
 
Tangu itangazwe kuwa MK kapata kiokombe kwa babu alipokuwa akienda kutizama makanyagio ya watu wa kale, tunaona mabadiliko ya gafla kama mtu alieamka usingizini, akianza kurudia ile hali yake ya mwanzo alipoingia madarakani, hoja nzito nzito na kuanza hata kujichanganya kwenye sekta nyeti na kuapear kwenye luninga akiwa na mambo mazito tu. Je Mheshimiwa huyu ambae tayari watu walikuwa wameanza kukata tamaa ndo kazinduka baada ya dozi ya kikombe? Ni vigumu kuamini ninayoona yuanatokea kaanza gafla kwa spidi ya ajabu... bado wale wengine sijui hali zao
 
Tunashuhudia mabadiliko ya gafla ya MJK kama mtu alieamka usingizini, akianza kurudia ile hali yake ya mwanzo alipoingia madarakani, mwenye nguvu, hoja nzito nzito na kauli zenye matumaini kama kiongozi, mwenye maono na hata kutoa amri tunazozitarajia kwa kiongozi na kuanza hata kujichanganya kwenye sekta nyeti na kuapear kwenye luninga akiwa na mambo mazito tu na mwenye kujiamini. Je Mheshimiwa huyu ambae tayari watu walikuwa wameanza kukata tamaa ndo kazinduka baada ya dozi ya kikombe cha babu? Ni vigumu kuamini ninayoona yuanatokea kaanza gafla kwa spidi ya ajabu... inanishawishi kuwaza kuwa kuna jambo la kiafya ya kipsycholojia, kimwili au hata kiroho iliyokuwa inamsumbua na yawezekana amepata matibabu muafaka. Mimi kama kada wa chama chake wa muda mrefu, huyu ndie mtu niliyuekuwa na mjua hapo mwanzo na kubadilika kwake kipindi hiki kilichopita kilinitia mashaka maana waliokuwa chini yake walianza kufanya mautumbo na hakuna aliyekuwa anawaambia kitu, na kushindwa kupata jibu chama hiki kinaelekea wapi... ingawa tunahitaji muda kujua kwa uhakika chama hiki kilichopoteza umaarufu kwa kiasi kikubwa kina mkakati gani kurudisha imani hasa kwa wasomi na watu waishio mijini....

Mfano ngalia: HabariLeo | Wanafunzi wanaofeli wamkera Kikwete

na Home?

pia Rais Kikwete Atembelea Mamlaka Zilizochini ya Wizara ya Fedha

Nasubiri kwa hamu nione kama hotuba yake ya mwisho wa mwezi itafananaje kama kuna improvements zozote hasa kama itaweza kuwa na solid directives za maana na positions za serikali kwenye maswala nyeti badala ya bables
 
Back
Top Bottom