Quran ilisha andikwa tokea huko mbinguni kisha ndio ikaanza kushuka kwa Muhammad kidogo kidogoHoja dhaifu kwenye Quran?? We muislam wa wapi wewe? Nimekwambia nipe aya inayosema hivyo acha porojo mkuu, leta aya katika Quran mkuu na sio porojo zako hazina mantiki hapa.
Kutoka katika Arish ya mwenyezi mungu ilitoka kwa Mara moja hadi katika kituo chake kutoka hapo katika kituo ndio Roho mtakatifu huyu ni malaika mkuu Gibril au pia unaweza kumuita Gabriel akawa anaiteremsha kidogo kidogo kwa MuhammadQuran ilisha andikwa tokea huko mbinguni kisha ndio ikaanza kushuka kwa Muhammad kidogo kidogo
Quran 85
21 Bali hii ni Qur'ani tukufu
22.
Katika Ubao Ulio Hifadhiwa
Huyo Roho kwa mara ya kwanza kuja kwa Muhammad alimshika na akawa anamlazimisha asome mtume akajibu siwezi kusoma akaongeza nguvu kwa kum bana ndio akaanza kusomaKutoka katika Arish ya mwenyezi mungu ilitoka kwa Mara moja hadi katika kituo chake kutoka hapo katika kituo ndio Roho mtakatifu huyu ni malaika mkuu Gibril au pia unaweza kumuita Gabriel akawa anaiteremsha kidogo kidogo kwa Muhammad
Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani katika Laylatul Qadri, Usiku wa Cheo Kitukufu.
2.
Na nini kitacho kujuulisha nini Laylatul Qadri?
3.
Laylatul Qadri ni bora kuliko miezi elfu.
4.
Huteremka Malaika na Roho katika usiku huo kwa idhini ya Mola wao Mlezi kwa kila jambo.
Tone la damu ... fafanua.Huyo Roho kwa mara ya kwanza kuja kwa Muhammad alimshika na akawa anamlazimisha asome mtume akajibu siwezi kusoma akaongeza nguvu kwa kum bana ndio akaanza kusoma
Point ya msingi kama Roho alikuwa anamlazimisha Muhammad asome ina maana Roho alikuja na maandishi ambayo ndio Quran
Quran 97
1 Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba,
2.
Amemuumba binaadamu kwa tone la damu,
3.
Soma! Na Mola wako Mlezi ni Karimu kushinda wote!
[Quran 17:36] You shall not accept any information, unless you verify it for yourself. I have given you the hearing, the eyesight, and the brain, and you are responsible for using them.Quran.
Ndiyo.[Quran 17:36] You shall not accept any information, unless you verify it for yourself. I have given you the hearing, the eyesight, and the brain, and you are responsible for using them.
Unakubaliana na hayo maelezo hapo juu???
Je, nawezaje kuverify... kwamba ibilis alikataa kumsujudia binadamu?Ndiyo.
Ufafanuzi... Mungu alimsimulia hii story nani?...Mwanzo:2.1
Basi mbingu na nchi zikamalizika, na jeshi lake lote.
Mwanzo:2.2
Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya.
Mwanzo:2.3
Mungu akaibarikia siku ya saba, akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya.
Mwanzo:2.4
Hivyo ndivyo vizazi vya mbingu na nchi zilipoumbwa. Siku ile Bwana Mungu alipoziumba mbingu na nchi
Mwanzo:2.5
hapakuwa na mche wa kondeni bado, wala mboga ya kondeni haijachipuka bado, kwa maana Bwana Mungu hajainyeshea nchi mvua, wala hapana mtu wa kuilima ardhi;
Mwanzo:2.6
ukungu ukapanda katika nchi, ukatia maji juu ya uso wote wa ardhi.
Mwanzo:2.7
Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
Mwanzo:2.8
Bwana Mungu akapanda bustani upande wa mashariki wa Edeni, akamweka ndani yake huyo mtu aliyemfanya.
Mwanzo:2.9
Bwana Mungu akachipusha katika ardhi kila mti unaotamanika kwa macho na kufaa kwa kuliwa; na mti wa uzima katikati ya bustani, na mti wa ujuzi wa mema na mabaya.
Mwanzo:2.10
Ukatoka mto katika Edeni wa kuitilia bustani maji, na kutokea hapo ukagawanyika kuwa vichwa vinne.
Mwanzo:2.11
Jina la wa kwanza ni Pishoni; ndio unaozunguka nchi yote ya Havila, ambako kuna dhahabu;
Mwanzo:2.12
na dhahabu ya nchi ile ni njema; huko kuna bedola, na vito shoham.
Mwanzo:2.13
Na jina la mto wa pili ni Gihoni; ndio unaozunguka nchi yote ya Kushi.
Mwanzo:2.14
Na jina la mto wa tatu ni Hidekeli; ndio unaopita mbele ya Ashuru. Na mto wa nne ni Frati.
Mwanzo:2.15
Bwana Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza.
Mwanzo:2.16
Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula,
Mwanzo:2.17
walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.
Mwanzo:2.18
Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
Mwanzo:2.19
Bwana Mungu akafanyiza kutoka katika ardhi kila mnyama wa msituni, na kila ndege wa angani, akamletea Adamu ili aone atawaitaje; kila kiumbe hai, jina alilokiita Adamu likawa ndilo jina lake.
Mwanzo:2.20
Adamu akawapa majina yao kila mnyama wa kufugwa, na ndege wa angani, na kila mnyama wa mwituni; lakini hakuonekana wa kumsaidia Adamu aliyefanana naye.
Mwanzo:2.21
Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,
Mwanzo:2.22
na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
Mwanzo:2.23
Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.
Mwanzo:2.24
Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
Mwanzo:2.25
Nao walikuwa uchi wote wawili, Adamu na mkewe, wala hawakuona haya.
Nan kakwambia anaamini big bang... mimi ukiniuliza nitakwambia sina jibu.Kwani huyo jamaa yenu aliyewaletea mnachokiita : BIG BANG na ninyi mmekubali hivyo.Mlikuwepo wakati tukio hilo linatokea? Huyo jamaa yenu yeye alikuwepo?.
Hicho cha kwenye mioyo ndio softcopy sasa....Kilichoandikwa ndani ya moyo,huwa kina soft copy au hard copy?.
Wewe kama uamini ni sawa ndani yako.Lakini wapo wengi wanakubaliana nayo na hawakuwepo kwenye tukio.Nan kakwambia anaamini big bang... mimi ukiniuliza nitakwambia sina jibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana.MIE NIPO KUNDI LA 3. NA HUKO NIMEJAA.
Nilikuwa nachangia katika Mada ya moja hapa JF leo kumueleimisha ndugu yangu Kiranga, Hebu mupate Faida kidogo. Kila penye [……] Ni hoja za Kiranga katika kujibu swali aliloulizwa kuwa nani alianzisha the Big bang?.
["From our current perspective, without cracking this new math, the singularity at the beginning of the Big Bang, will remain an unknowable event"].
Absolutely true! Until we admit that our level of understanding is limited to what we can calculate based on hypothesis and not necessary facts that can lead us to have a single explanation between relativity and quantum physics to get quantum gravity!.
To me, It is a proof that in fact human being have been given limited knowledge.
And they ask you, [O Muhammad], about the soul. Say, "The soul is of the affair of my Lord. And mankind have not been given of knowledge except a little." (Qur 17:85)
This is not limiting us from exploring more of our universe. However, our human intellect isn't clever enough to answer all question such as to who triggered the bullet for the BING BANG to take place, irrespective we can spend more years to think, generate theories and wonders in the cosmos.
Similarly to come to conclusion that ["This does not necessarily mean it is the work of God or anything of the sort], utters nothing and meaningless to me! why??
Because TIME has ever existed before the Bing Bang.
When we talk about time and space after the Big Bang, Yes! we might be correct because we are living in the aftermath of the Big Bang. Meaning we are the product of the fate of the Big explosion. Before that time for the big bang wasn't there.
But let us take example of "fireworks" a.k.a "Fataki" in Swahili.
Has the fireworks ever existed before? No!
Was the fireworks created by human being? Yes!
After fireworks explodes - time and space starts to count!
Particles in the fireworks understands that we came from explosion (after ignoring the fireworks) and time started there!
Think about the Fireworks maker! Has he existed before?
Answer is YES!
Has TIME for fireworks maker ever EXISTED? YES!
Yes because he himself subjected to time. he is the TIME in this point of argument!
Have those who disbelieved not considered that the heavens and the earth (were a joined entity (singularity), and We separated them asunder (Big Bang) and made from water every living thing? Then will they not believe? (Qur 21:30)
["There was no time before the big bang, therefore, any question of causation (cause and effect), at least from what we know so far, is meaningless"] .
The answer is also Meaningless + Meaningless + meaningless!.
The owner of the FIREWORKS (UNIVERSE) has admitted to have caused (triggered the bullet) the event to happen!
Because He was there before the BB and he caused it to happen! HE IS HIMSELF THE TIME!
The BIG Question now is, if we lived all those years, waiting for scientists to explore the cosmos and come up with a single explanation that can explain the Relativity theory and Quantum Physics theory in order to calculate the Quantum Gravity, which they have failed, and unfortunately all those scientists have passed away including the recent soothsayer Stephen Hawking who never went into the space, how long should we wait to have a single explanation that we can rely on to explain the universe around us??
Isn't time now to reflect back and admit that the BB had a causer! And who is He??
ALLAH!
People fear what they don't understand and hate what they can't conquer.' - Andrew Smith
Huna habar mwenyewe uko zako kwenye kabox kadooogo hata kujitikisa huwezi still una amani😆😆😆Binadamu tutatafuta sababu nyingi, ila mi nabaki na context ya Dini yangu inaniambiaje
In short, Mungu ana fast forward less important details ili mwanadamu usije ukajifanya una akili nyingi.OK. Ngoja niingie Chimbo kwanza but summary of my point ni kwamba GOD (MUNGU) ni Jina LA kiimani ambalo kisayansi ndiyo very small particle zilizohusika Kati Big Bang ya evolution of the universe. Nimejalibu kufatilia kuumbwa Kwa ulimwengu Kwa siku sita Kama vitabu vya ndini vinavyosema nikalingalisha na history ya geological evolution of the Earth nikaona matukia ya kutokea viumbe vilivyo hai na visivyo hai vinafanana Sana kimrorongo. Tofauti ni muda yaani ninaamanisha Kuwa Mungu aliposema ikawa usiku ikawa asubuhi Huku katika geology inachukua millions of years hilo tukio kukamilika. Nitarudi badae.