Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,183
- 3,660
Binaadam tumepewa akili nyingi lakini Mungu anataka kitu cha kwanza tutumie akili hizo kumjua yeye muumba
Kwa kutumia akili huo mwili wako tu unathibitisha uwepo wa Mungu maana wewe mwenyewe haufahamu yani ukiambiwa hapo nionyeshe utumbo wako mdogo unanzia wapi na unaishia wapi huwezi kuonyesha
Ukiambiwa hapo hebu gusa kongosho lako huwezi kuligusa linafanyaje kazi hujui
Lakini pia hapo ulipo unatembea na kunyesi kimeja mwilini mwako na kina harufu mbaya sana lakini wewe mwenyewe harufuyake huisiki wala uliye karibu nayo pia hasiki kwa nini kimehifadhiwa vizuri katika mfumo wake na ukikitoa hapo mbele ya wenzako watakukimbia sasa
Lakini pia unakula chakula ambacho pia ni kiumbe kilicho umbwa na Mungu wewe mwenyewe hauna hata uwezo wa kuumba hata punje moja ya mchele au mtama ili ule wala huna uwezo wa kuumba maji ili unywe
Lakini pia unaishi katika aridhi ambayo hata ujui imetandikwa lini na kuna Jua linakumulika na kukupa joto na usiku kuna mwezi una angaza haya yote Mungu anasema yanathibitisha uwepo wake ila kwa wenye akili
Lakini pia Mungu hajamkataza binaadam kwenda angani kumtafuta Mungu yupo wapi kama unaweza nenda utayaona makazi yake
Katika Quran Mungu anasema mbingu zipo 7 na akasema ameipamba mbingu ya karibu kwa nyota kwa hiyo katika hizo saba hi tunayoiona sisi imepambwa kwa nyota haipo ukishazivuka hizo ndio unainga katika ARISH ya mwenyezi Mungu
Sasa nyinyi wapagani mnaosema hakuna Mungu nendeni huko mkazunguke kote kisha mrudi duniani mtuambie kuwa hamkuona kitu kwa hiyo Mungu hayupo
Sent using Jamii Forums mobile app