Mjadala kuhusu chanzo cha ulimwengu na maisha

Ni lazima hoja hio ipimwe Vitu vitatu

1. Logic(Mantiki)

2.Science

3.Common Sense

Kaka sasa mbona vipimo ulivyoviweka navti vinapaswa kupimwa,sababu vyote vina madhaifu tele.

Logic kama elimu ina madhaifu kibao kutokana na misingi yake ya kufikia hitimisho. Soma kitabu "Ibn Taymiyya against Greek Logicians"

Science kadhalika ina matatizo yake lukuki,kulingana na njia za kutafuta hitimisho la jambo fulani,kwani wapo waliosema science haipo kwa ajili ya kuutafuta ukweli bali science ipo kwa ajili ya kuthibitisha.

Common sense hii ni akili,hapa napo kuna muskheli mkubwa sana,kwani akili pekee kuujua ukweli haitoshi. Kuna akili salama na akili isiyo salama,zote zinatakiwa ziwekwe katika mizani.

Nipo ....
 
If you did quatum physics , you can explain a bit about the first cause . I' m doubting about " everythig came into existance out of nothing " may be "nothing is God , the suprime being "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlokore nae atakuambia yehova ndiye alie juu ya vyote.
yaan kila dini ina mungu wake.Huyo allah kashindwa kuthibiti mauaji ya vitoto vichanga uku syria,somalia na kule burma..
antbaraka wanaua waislam kule afrka ya kat, kule misri nako wakristo wanachinjwa kama kuku alaf uniambie kuna mungu mweza wa yote?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka uambiwe kuna nini kiweza cha yote?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlokore nae atakuambia yehova ndiye alie juu ya vyote.
yaan kila dini ina mungu wake.Huyo allah kashindwa kuthibiti mauaji ya vitoto vichanga uku syria,somalia na kule burma..
antbaraka wanaua waislam kule afrka ya kat, kule misri nako wakristo wanachinjwa kama kuku alaf uniambie kuna mungu mweza wa yote?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasukuma wanamuita Sebha,Wanyamwezi wanamuita Mlungu! Sasa unapotea wapi wewe!? Kila lugha inamjua kwa jina la lugha yake.

Allah sio yehova na yehova sio allah.
hawa n mamungu tofati kuanzia majina, vipaumbele vyao, ahadi, sifa n.k.
yehova anamtoto.
Allah hana mtoto.
yehova kaumba mtu kwa mfano wake.
Allah hafanani na chochote.
bingu ya yehova hakuna kuoa wala kuolewa{ wateure wote wanakua kama malaika}.
pepo ya allah kila mwanaume atapewa reward{zawad} ya mabikra 70,mabikra hao wana macho kama vikombe{ na allah atawapa{ wateure} nguvu ya kuwat[emoji2398]mb ¤ hao mabikira.

NB: ole nsukuma ng'wichane Okokaya bhariadi..Ale obhebhe hale kaya? [emoji12][emoji12]

Unene nati Nsukuma,lakini naligasha Igunga.

Yehova anamtoto. Basi anawatoto wengi.
22 Nawe umwambie Farao, Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu;
Kutoka 4:22

9 Watakuja kwa kulia, na kwa maombi nitawaongoza; nitawaendesha penye mito ya maji, katika njia iliyonyoka; katika njia hiyo hawatajikwaa; maana mimi ni baba wa Israeli, na Efraimu ni mzaliwa wa kwanza wangu.
Yeremia 31:9

Yehova anawatoto wangapi basi?.

*Yehova kaumba mtu kwa mfano wake.

34 lakini mimi nawaambia, Usiape kabisa; hata kwa mbingu, kwa maana ndicho kiti cha enzi cha Mungu;
Mathayo 5:34

35 wala kwa nchi, kwa maana ndiyo pa kuwekea miguu yake; wala kwa Yerusalemu, kwa maana ndio mji wa Mfalme mkuu.
Mathayo 5:35
Bado tu utasema Yehova amefanana na wewe?.

*Mbigu ya Yehova hakuna kuoa Wala kuolewa.
6 Nikasikia sauti kama sauti ya makutano mengi, na kama sauti ya maji mengi, na kama sauti ya radi yenye nguvu, ikisema, Haleluya; kwa kuwa Bwana Mungu wetu, Mwenyezi, amemiliki.
Ufunuo wa Yohana 19:6

7 Na tufurahi, tukashangilie, tukampe utukufu wake; kwa kuwa arusi ya Mwana-Kondoo imekuja, na mkewe amejiweka tayari.
Ufunuo wa Yohana 19:7

8 Naye amepewa kuvikwa kitani nzuri, ing'arayo, safi; kwa maana kitani nzuri hiyo ni matendo ya haki ya watakatifu.
Ufunuo wa Yohana 19:8

9 Naye akaniambia, Andika, Heri walioalikwa karamu ya arusi ya Mwana-Kondoo. Akaniambia, Maneno haya ni maneno ya kweli ya Mungu.
Ufunuo wa Yohana 19:9
Mwana-kondoo=Yesu.Anakula ndoa mbinguni.

Unasemaje Sasa?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Allah sio yehova na yehova sio allah.
hawa n mamungu tofati kuanzia majina, vipaumbele vyao, ahadi, sifa n.k.
yehova anamtoto.
Allah hana mtoto.
yehova kaumba mtu kwa mfano wake.
Allah hafanani na chochote.
bingu ya yehova hakuna kuoa wala kuolewa{ wateure wote wanakua kama malaika}.
pepo ya allah kila mwanaume atapewa reward{zawad} ya mabikra 70,mabikra hao wana macho kama vikombe{ na allah atawapa{ wateure} nguvu ya kuwat[emoji2398]mb ¤ hao mabikira.

NB: ole nsukuma ng'wichane Okokaya bhariadi..Ale obhebhe hale kaya? [emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu wamekutengenezea dini feki ya ukiristo

Wamekutengenezea kitabu cha mungu feki yani Wagaratia,wakolintho,warumi na vingine unavyo vijua

Wamekutengenezea mtume feki anaitwa Paulo

Wamekutengenezea Yesu feki sanamu lake wakakuwekea kanisani

Kwa hiyo wewe kila sehemu umeingizwa chaka kitabu peke kitakacho kuonyesha njia ya kweli kwa sasa ambacho hakija chafuliwa ni Quran

Una uhakika gani kama hiko kitabu unachokisemea ww sio feki...?

Kama alikiandika binadamu maana yake kinaweza kuwa ni cha kutunga au kinafuata hisia za mtunzi wake.

Quran 61-- 6

Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad!

Hapo Yesu anathibisha kuwa ninacho kifuata ni sahihi hayo maneno Yesu aliwambia wana wa Israel siku chache kabla ajapa kwenda mbinguni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna kitu kimejitokeza tuu..wakati tunasema chanzo ni MUNGU basi mnambie pia MUNGU katokea wapi? (kujibiwa kisiasa za biblia/misaafu staki) MUNGU katoka wapi?

Halafu kabla yakufkiria huu ulimwengu tungepata solution kwanza ya MUNGU ni nani na katokea wapi,tukishajua na kuelewa kuhusu MUNGU hivi vingine vitakuja ila huwezi anza waza mtoto huyu ni kabila gani wakati hujui kabila la baba ake.
 
Binadam ndio kiumbe wa mwisho kuumbwa na mungu na nafikiri amefanya hivi kusudi kwa kuwa ametupa akili nyingi kama angendelea kuumba viumbe wengine na sisi tupo duniani challenge ingekuwa kubwa zaidi

Ila wewe unaesema kila kitu kimezuka hakuna muumba kwa nini haviendelei kuzuka viumbe vingine

Mbona jamaa swali lake lipo clear sijajua unakwamia wapi?

Katoa maelezo akihitaji ufafanuzi wa kina na amejikita katika kuelewa sio kukeremishwa kitutusa

Amesema ikiwa hakuna kitu kilichojitokeza tu pasipo kua na mletaji basi hata dhana ya huyo mungu kusema ndiye aliyeumba ulimwengu pamoja na viumbe vyote naye atahitaji mletaji kwasababu yupo. Na amesisitiza kua umpe fact nje ya vitabu vya dini ambavyo hata mimi siviamini in short we need extra evidence out of religion books

Sent using unknown device
 
Kama umeshindwa kuamini uwepo wa Mungu kwa maneno yake Mungu mwenyewe kupitia vitabu vyake na mitume yake and then unataka uamini uwepo wa Mungu kupitia vitabu walivyo tunga binaadam wenzako huo ni upagani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umeshindwa kuamini uwepo wa Mungu kwa maneno yake Mungu mwenyewe kupitia vitabu vyake na mitume yake and then unataka uamini uwepo wa Mungu kupitia vitabu walivyo tunga binaadam wenzako huo ni upagani

Sent using Jamii Forums mobile app

Majibu kama haya ndiyo aliyoyakataa jamaa hapo juu

Hatujawahi kumuona mungu ameshuka akasema kua fuateni maneno yangu katika kitabu flani, na ndio maana vitabu vimekua vingi huku vikipingana kuonesha kua havijaandika neno la mungu mmoja ambaye amekusudiwa

Mbona mi naona vitabu vyote vimeandikwa na binadamu na ndio maana vinapishana halafu tena vina mkanganyiko ndani yake yani vinajipinga vyenyewe, hapo tu inaonesha kua vimeandikwa na binadamu ambao umesema kua ni vyakipagani

Sent using unknown device
 
Back
Top Bottom