Mjadala kuhusu chanzo cha ulimwengu na maisha

Mjadala kuhusu chanzo cha ulimwengu na maisha

Sisi wengine tunaamini katika chanzo fulanj(Muumba)

Na hicho kitabu hatukubaliani nacho kuwa ni cha Muumba

Na sio hicho tu na vyenzake vyote vilivyotangulia

Ila tunakubali kuwa ni cha miungu

Na kina kila sababu yakuwa kitabu cha Alien wanaotaka kutuingiza chaka

Na kinawafanya watu kuwa kondoo na wao kuwa wachungaji

kinatoa majibu Mepesiiiii..kwa maswali magumuuu

kwa shutuma hizi na zenginezo naomba usitumie nukuu zake huku

utachenji gia ya mjadala Angani sasa hivi
Embu tujulishe kuhusiana na hicho "chanzo Fulani"

Shusha vitu mkuu nasi tujue huenda tukabadilisha imani zetu tulizonazo.


Ila kiukweli haya mambo yatazungumziwa tu lakini wakusema nani kafanya ivyooo vyotee wote wanaa amba ambaa cha kujibu hawana. Mwenzangu na Mimi ukisemu Mungu unaambiwa thibitisha uwepo wakee. Ukileta Ishara zake unaambiwa kwanini hukusema mwingine ukasema Mungu... Yaaani tupo kwenye Cycle wambele wanawakimbiza wanyuma wanyuma wanawakimbiza Wa mbele.

Wakati ndio utatupa majibu. Tusubiri hivyo hivyo tuone mwisho wake.
 
Embu tujulishe kuhusiana na hicho "chanzo Fulani"

Shusha vitu mkuu nasi tujue huenda tukabadilisha imani zetu tulizonazo.


Ila kiukweli haya mambo yatazungumziwa tu lakini wakusema nani kafanya ivyooo vyotee wote wanaa amba ambaa cha kujibu hawana. Mwenzangu na Mimi ukisemu Mungu unaambiwa thibitisha uwepo wakee. Ukileta Ishara zake unaambiwa kwanini hukusema mwingine ukasema Mungu... Yaaani tupo kwenye Cycle wambele wanawakimbiza wanyuma wanyuma wanawakimbiza Wa mbele.

Wakati ndio utatupa majibu. Tusubiri hivyo hivyo tuone mwisho wake.

Nikujulishe nini.! Acha kunibip wewe..! kuna aliyewahi kupata jibu la hilo swali la chanzo cha ulimwengu..!?

Mimi mwenyewe kwangu lipo kiimani zaidi _kwamba nina imani tu juu ya muanzilishi wa mambo yote haya

Dunia na ulimwengu kwa ujumla wake unadhihirisha ufundi mwingi unaokupelekea bila shaka kutambua uwepo wa hicho chanzo

Labda swali la msingi libadilike liwe kwanini tupo hapa.?

Maana sioni umuhimu wa vitu hivi vingi kuwepo hapa

kwakuwa kwangu mimi kitu kinachoitwa fujo huwa sipendi na ndio sifa kuu ya dunia tunayoishi ndani yake

Yaani nahisi kama nilitekwa halafu nikaja kubwagwa huku [emoji30]

Sasa katika kupapasa papasa juu ya shaka langu la uwepo wangu ndio nakutana na Vipolo vya vya mandiko ya kila aina kama hayo ya kwenu

Sasa ndio namtafuta aliyenisukumia huku mpaka nimpate_Nakuapia Atajuta

hii vibe ya hili eneo siikubali hata kidogo
 
Nikujulishe nini.! Acha kunibip wewe..! kuna aliyewahi kupata jibu la hilo swali la chanzo cha ulimwengu..!?

Mimi mwenyewe kwangu lipo kiimani zaidi _kwamba nina imani tu juu ya muanzilishi wa mambo yote haya

Dunia na ulimwengu kwa ujumla wake unadhihirisha ufundi mwingi unaokupelekea bila shaka kutambua uwepo wa hicho chanzo

Labda swali la msingi libadilike liwe kwanini tupo hapa.?

Maana sioni umuhimu wa vitu hivi vingi kuwepo hapa

kwakuwa kwangu mimi kitu kinachoitwa fujo huwa sipendi na ndio sifa kuu ya dunia tunayoishi ndani yake

Yaani nahisi kama nilitekwa halafu nikaja kubwagwa huku [emoji30]

Sasa katika kupapasa papasa juu ya shaka langu la uwepo wangu ndio nakutana na Vipolo vya vya mandiko ya kila aina kama hayo ya kwenu

Sasa ndio namtafuta aliyenisukumia huku mpaka nimpate_Nakuapia Atajuta

hii vibe ya hili eneo siikubali hata kidogo
Imani Imani Imani. Ila mkuu unakiri kuwa mambo yanayohusu imani si yakusadikika ? Na je ? Katika kuona kwako umeweza kujua na kuutambua ukweli Wa imani yako aidha kwa ishara au kwa namna Fulani iliyokupa yakini kuwa imani yako ni kweli ?


Kweli tusiendee mbali tuanzie kwetu sisi wanadamu. Vipi mkuu unajua Asili ya Mwanadamu ?
 
Tuendelee kuchangia bila jazba,mtu mstaarabu anaheshimu mawazo ya wengine hivyo tujenge hoja pengine italeta mashiko kwa anayepingana nawewe, na huu mjadala ni mzito haswa hivyo tujenge hoja....karibuni
 
The world was created or came into existence by the super natural power.This power is called God.Nipo kwenye kundi la tatu mkuu.
Asante kwa mchango wako na utuelezee (kama ukiweza) sababu za kuwa kundi namba 3
 
Imani Imani Imani. Ila mkuu unakiri kuwa mambo yanayohusu imani si yakusadikika ?
Ukitafsiri Imani bila kuweka neno 'hakika' ndani yake inageuka na kuwa dhana
Na je ? Katika kuona kwako umeweza kujua na kuutambua ukweli Wa imani yako aidha kwa ishara au kwa namna Fulani iliyokupa yakini kuwa imani yako ni kweli ?
Ukweli upi huo..?

wa Imani yangu juu ya uwepo wa chanzo fulani.?

Au ile ya vitabu vyenu kuwa vya alien.?

au hili la mimi kuhisi nimetelekezwa..?[emoji3]
Kweli tusiendee mbali tuanzie kwetu sisi wanadamu. Vipi mkuu unajua Asili ya Mwanadamu ?
Nitaijuaje..!? kwani nilishiriki wakati anatokezwa.!

kilicho hakika kwangu ni kwamba kuna kilichomtokeza au kutokeza yote haya

Ila sasa sababu/kusudi la uwepo wa hiki kiumbe ndio unamushkel

kila mmoja anajaribu kuelezea kulingana na uwelewa wake

Ila kuna hatari inayojitokeza ya wengine kuwaamulia wenzao namna ya kufikiri na hilo ndio tatizo
 
Nimesoma
Bila shaka unaamini katika kundi la 3,
Machapisho mengi sana ya wanafalsafa mbalimbali wanaoelezea kuhusu Dini, honestly naona kila mmoja anaview kwa mtazamo wake,so better kubaki na Biblia tu
 
Ukitafsiri Imani bila kuweka neno 'hakika' ndani yake inageuka na kuwa dhana Ukweli upi huo..?

wa Imani yangu juu ya uwepo wa chanzo fulani.?

Au ile ya vitabu vyenu kuwa vya alien.?

au hili la mimi kuhisi nimetelekezwa..?[emoji3]Nitaijuaje..!? kwani nilishiriki wakati anatokezwa.!

kilicho hakika kwangu ni kwamba kuna kilichomtokeza au kutokeza yote haya

Ila sasa sababu/kusudi la uwepo wa hiki kiumbe ndio unamushkel

kila mmoja anajaribu kuelezea kulingana na uwelewa wake

Ila kuna hatari inayojitokeza ya wengine kuwaamulia wenzao namna ya kufikiri na hilo ndio tatizo
Wa imani yako juu ya chanzo Fulani.

Pia kwanini unasema vitabu vya Allien ?
 
Kikubwa azingatie vitu vitatu ambapo kuna member mmoja ameeleza apo juu.


1) Logic

2) Make sense

3) Science


Siku zote Kwa mtu anaejielewa hawezi bishana kwenye Ukweli.

MIE NIPO KUNDI LA 3. NA HUKO NIMEJAA.

Nilikuwa nachangia katika Mada ya moja hapa JF leo kumueleimisha ndugu yangu Kiranga, Hebu mupate Faida kidogo. Kila penye [……] Ni hoja za Kiranga katika kujibu swali aliloulizwa kuwa nani alianzisha the Big bang?.

["From our current perspective, without cracking this new math, the singularity at the beginning of the Big Bang, will remain an unknowable event"].

Absolutely true! Until we admit that our level of understanding is limited to what we can calculate based on hypothesis and not necessary facts that can lead us to have a single explanation between relativity and quantum physics to get quantum gravity!.

To me, It is a proof that in fact human being have been given limited knowledge.

And they ask you, [O Muhammad], about the soul. Say, "The soul is of the affair of my Lord. And mankind have not been given of knowledge except a little." (Qur 17:85)

This is not limiting us from exploring more of our universe. However, our human intellect isn't clever enough to answer all question such as to who triggered the bullet for the BING BANG to take place, irrespective we can spend more years to think, generate theories and wonders in the cosmos.

Similarly to come to conclusion that ["This does not necessarily mean it is the work of God or anything of the sort], utters nothing and meaningless to me! why??
Because TIME has ever existed before the Bing Bang.

When we talk about time and space after the Big Bang, Yes! we might be correct because we are living in the aftermath of the Big Bang. Meaning we are the product of the fate of the Big explosion. Before that time for the big bang wasn't there.
But let us take example of "fireworks" a.k.a "Fataki" in Swahili.
Has the fireworks ever existed before? No!
Was the fireworks created by human being? Yes!

After fireworks explodes - time and space starts to count!
Particles in the fireworks understands that we came from explosion (after ignoring the fireworks) and time started there!

Think about the Fireworks maker! Has he existed before?
Answer is YES!
Has TIME for fireworks maker ever EXISTED? YES!
Yes because he himself subjected to time. he is the TIME in this point of argument!

Have those who disbelieved not considered that the heavens and the earth (were a joined entity (singularity), and We separated them asunder (Big Bang) and made from water every living thing? Then will they not believe? (Qur 21:30)

["There was no time before the big bang, therefore, any question of causation (cause and effect), at least from what we know so far, is meaningless"] .

The answer is also Meaningless + Meaningless + meaningless!.

The owner of the FIREWORKS (UNIVERSE) has admitted to have caused (triggered the bullet) the event to happen!
Because He was there before the BB and he caused it to happen! HE IS HIMSELF THE TIME!

The BIG Question now is, if we lived all those years, waiting for scientists to explore the cosmos and come up with a single explanation that can explain the Relativity theory and Quantum Physics theory in order to calculate the Quantum Gravity, which they have failed, and unfortunately all those scientists have passed away including the recent soothsayer Stephen Hawking who never went into the space, how long should we wait to have a single explanation that we can rely on to explain the universe around us??

Isn't time now to reflect back and admit that the BB had a causer! And who is He??

ALLAH!

People fear what they don't understand and hate what they can't conquer.' - Andrew Smith
 
Wa imani yako juu ya chanzo Fulani.
Imani juu ya chanzo hicho..!

Ni mjumuisho wa taarifa nyingi japo si zote_na siwezi kuelezea kwa maneno mawili ikaeleweka

Pia kwanini unasema vitabu vya Allien ?
Hahaa...huwa siwezi kuilezea sana kwa kuhofia kukwaza watoto wachanga kiimani napenda waamini wanacho amini

Ila kikubwa katika yote huwa nafahamu kuwa Muumba hawezi kujipinga

lakini inakuwa ni tofauti pindi unaposoma vitabu vyenu

Mungu ana usimba na uyanga kiasi kwamba ukitumia common sense hushindwi kutambua kuwa ni hila za kikundi fulani cha kijamii

Ikiwa Mungu Muumba wa yote asiye na mshirika aliyeweza kutokeza yote haya bila kishauliwa

Iweje aanze kuchagua kikundi hiki ni chema na hiki hakifai..! kwani ni nani alimtuma atengeneze kibaya ili kimshughulishe..!?

naomba niishie hapo tu ndugu
 
Imani juu ya chanzo hicho..!

Ni mjumuisho wa taarifa nyingi japo si zote_na siwezi kuelezea kwa maneno mawili ikaeleweka

Hahaa...huwa siwezi kuilezea sana kwa kuhofia kukwaza watoto wachanga kiimani napenda waamini wanacho amini

Ila kikubwa katika yote huwa nafahamu kuwa Muumba hawezi kujipinga

lakini inakuwa ni tofauti pindi unaposoma vitabu vyenu

Mungu ana usimba na uyanga kiasi kwamba ukitumia common sense hushindwi kutambua kuwa ni hila za kikundi fulani cha kijamii

Ikiwa Mungu Muumba wa yote asiye na mshirika aliyeweza kutokeza yote haya bila kishauliwa

Iweje aanze kuchagua kikundi hiki ni chema na hiki hakifai..! kwani ni nani alimtuma atengeneze kibaya ili kimshughulishe..!?

naomba niishie hapo tu ndugu
Kama unakusudia vitabu viwili Bible & Qur'an. Mbona vitabu vinajieleza vya kutosha tu mitume Wa biblia na mitume iliyotajwa kwenye Qur'an ni wale wale.


Sema ukirejea katika bible wenyewe wanasema ni mkusanyiko Wa vitabu mmbalimbali. Zaburi,Tourati na Injili na haswa hivi ndiy vitabu ambavyo hata Qur'an imevitaja.


Kitabu cha Qur'an ni kitabu cha mwisho, hapo kabla kulikuwa na vitabu hivyoo Zaburi, Injili, Tourati.


Ukichunguza kwa undani vitabu hivyo utaona kabisa vinashabiana. Swali la msingi linakuja kwanini baadhi ya maeneo imetofautiana.. Hapo sasa ndy utagundua kuna mchezo mchafu amba binadamu wameufanya ili kuwapoteza watu na njia ya Mwenyezi Mungu.

Hawawengine sijui mabudha majusa na wengine wengi ni ibada zao wenyewe za kubuni na kurith kutoka kwa mababu zao.
 
mshana jr alisemaga "Unapoishia uchawi sayansi ndiko inakoanzia"
Naamini katika maandiko kuwa Mungu aliumba Dunia na vilivyomo vyote (vinavyoonekana na visivyoonekana)
Kama unaamini maneno ya mshana ambaye hajagundua hata karatasi ya kufungia wembe utakuwa ujinga
 
Kama unakusudia vitabu viwili Bible & Qur'an. Mbona vitabu vinajieleza vya kutosha tu mitume Wa biblia na mitume iliyotajwa kwenye Qur'an ni wale wale.


Sema ukirejea katika bible wenyewe wanasema ni mkusanyiko Wa vitabu mmbalimbali. Zaburi,Tourati na Injili na haswa hivi ndiy vitabu ambavyo hata Qur'an imevitaja.


Kitabu cha Qur'an ni kitabu cha mwisho, hapo kabla kulikuwa na vitabu hivyoo Zaburi, Injili, Tourati.


Ukichunguza kwa undani vitabu hivyo utaona kabisa vinashabiana. Swali la msingi linakuja kwanini baadhi ya maeneo imetofautiana.. Hapo sasa ndy utagundua kuna mchezo mchafu amba binadamu wameufanya ili kuwapoteza watu na njia ya Mwenyezi Mungu.

Hawawengine sijui mabudha majusa na wengine wengi ni ibada zao wenyewe za kubuni na kurith kutoka kwa mababu zao.
Sijui ni kwanini umewaza kuwa nazungumzia habari za mitume na usahihi wa vitabu....! Labda hujanielewa

Nimekupa jibu hilo kulingana na muktadha wa swali lako lililohoji juu ya madai yangu ya kuwa vitabu vyenu vinatokana na Alien

Labda nikiri kwamba sijatoa sababu nyingi zenye kujitosheleza na nilishaomba radhi kwa hilo kwakuwa sipendi kukwaza watu napenda waamini wanachoamini

Ila kama unataka na wewe kufanya upembuzi wako mwenyewe yakinifu wacha niyaweke machache yaliyonipelekea nikaamini kuwa yule hakuwa muumba bali ni viumbe wenye hila

Tena kwa sababu zitokanazo na ushahidi wa vitabu vyenyewe

ila uvumilie mimi sio muandishi mzuri na ni mvivu wa kuandika

1.VIUMBE KUTOKA NJE YA DUNIA
Masimulizi ya hivyo vitabu yanakiri wazi kabisa kuwa wahusika wake walikuwa na mawasiliano na viumbe kutoka nje ya dunia yetu tunayoishi wakiwabatiza kwa jina la malaika

2.UWASILISHWAJI WA TAARIFA
japo vitabu vinakiri kuwa mungu ni mmoja lakini ule umimi wake kwenye matamko yake una mushkel

mara nyingi tunapata matamko yanayoashiria kuwa hayupo peke yake kama "sisi tume........"

ikiashiria wapo wengi

3.HAIBA YA MUNGU
Kwa mara nyengine tena bila tatizo unapata kijua mungu ana hisia za kibinadamu kama Wivu,Hasira,chuki n.k

4.MUNGU MPENDA DAMU
Bila shaka kabisa masimulizi yanakiri utapanyaji wa damu kila eneo

sijajua damu inauvutano gani na hivi viumbe ila kuanzia ibada,vita,sherehe kote huko ni kuchinjachinja wanyama na binadamu kama wote

5.USHAHIDI WA KIHISTORIA
Kwa kuwa chimbuko la familia ya baba wa Imani (Ibrahim/abrahamu) kama mumwitavyo waislamu na wale wa kitabu

Ilikuwa ni Uru ya ukardayo kama kisemavyo kitabu maeneo ipatikanayo mito miwili Tigris na euflati(Mesopotamia)

Basi hatuna shaka kabisa ni eneo lililokuwa likiishi watu wenye ustaarabu mkubwa wa kisumeria na tawala kubwa sana kwa kipindi hicho

story kuhusiana na ancients Sumerian nadhan unazijua na kama uzijui basi tafuta kidogo halafu tuendelee
 
Asante kwa mchango wako na utuelezee (kama ukiweza) sababu za kuwa kundi namba 3
I believe in the word of God through his holy doctrines.

The Bible says that the universe was brought into existence through a series of creative acts by an all-powerful, loving God. The Scriptures clearly teach that God is the Creator of all things.

The concept of creation is not an obscure doctrine in the Scriptures. There are at least one hundred references in the Bible referring to Gods creative activity. It is the first doctrine to be stated:

In the beginning God created the heavens and the earth (Genesis 1:1).

Creation is also one of the last to be restated:

You are worthy, O Lord, to receive glory and honor and power; for You created all things, and by Your will they exist and were created (Revelation 4:11).

The fact that God made the heaven and the earth is taken for granted by the biblical writers. Furthermore, the Bible assumes the creation account as literally having occurred. There is no hint in Scripture that it is to be taken as poetry or as an allegory.

The biblical account of creation teaches the following things about man and the universe.

Creation Was Supernatural

The account of creation recorded in the Bible is a supernatural work of God. The Lord says:

I am the Lord, who makes all things, who stretches out the heavens all alone (Isaiah 44:24).

Creation was accomplished by the Word of the Lord,

By the word of the Lord the heavens were made, and all the host of them by the breath of His mouth. He gathers the waters of the sea together as a heap . . . For He spoke, and it was done; He commanded and it stood fast (Psalm 33:6,7,9).

God gives a challenge to those who would attempt to give their account of the origin of the universe:

Where were you when I laid the foundations of the earth? Tell me if you have understanding. Who determined its measurements? Surely you know (Job 38:4,5).

Out Of Nothing

Scripture further indicates that God created the universe out of no pre-existing materials. The word translated "create" in Genesis 1:1 is the Hebrew word bara. God is always the subject when this verb is used. The verb bara is used for creating out of nothing in Genesis 1:1, and in most other places it appears in the Bible.

In addition, the New Testament makes it clear that God created the universe by His spoken Word alone:

By faith we understand that the worlds were framed by the word of God, so that the things which are seen were not made of things which are visible (Hebrews 11:3).

Hence, with regard to physical entities there were no pre-existent materials used. Man, however, was made from the dust of the earth that God had previously created.

One of the modern theories that attempts to explain the origin of the universe teaches that matter is eternal. The Bible refutes the idea of the eternity of matter by stating that God created the world out of nothing. That the God of the Bible has the ability to create something from nothing can be summed up in a rhetorical question God asked the prophet Jeremiah:

Behold, I am the Lord, the God of all flesh. Is there anything too hard for Me? (Jeremiah 32:27).

Perfect

After each act of creation, God pronounced it good. When God finished creating the heavens and the earth they were perfect:

Then God saw everything that He had made, and indeed it was very good (Genesis 1:31).

There was no imperfection in Gods original creation. Imperfection eventually entered the universe as a result of mankinds sin, not Gods design. Thus, the universe as it exists today is not the same as God created it. Sin has brought into it abnormality and imperfection.

Details Of Creation

Scripture gives various details of the creation narrative. God has counted the stars and given them all names:

He counts all the number of stars; He calls them all by name (Psalm 147:4).

Scripture speaks of God creating the elements:

For He looks to the ends of the earth, and sees under the whole heavens, to establish a weight for the wind, and mete out waters by measure. When He made a law for the rain, and a path for the thunderbolt (Job 28:24-26).

It is God who created the heavenly bodies:

Do you know the balance of the clouds, those wondrous works of Him who is perfect in knowledge . . . With Him, have you spread out the skies, strong as a cast metal mirror? (Job 37:16,18).

The day is Yours, the night also is yours; You have prepared the light and the sun. You have set all the borders of the earth; You have made summer and winter (Psalm 74:16).
Jeremiah records the limitlessness of creation:

As the host of heaven cannot be numbered, nor the sand of the sea measured (Jeremiah 33:22).

The prophet Amos speaks of the creation of constellations:

He made Pleiades and Orion; He turns the shadow of death into morning and makes the day dark as night; He calls for the waters of the sea and pours them out on the face of the earth; the Lord is His name (Amos 5:8).

The Bible contrasts the changelessness of God with an ever-changing creation:

Of old You have laid the foundation of the earth, and the heavens are the work of Your hands. They will perish, but You will endure; yes all of them will grow old like a garment; like a cloak You will change them, and they will be changed. But You are the same, and Your years will have no end (Psalm 102:25-27).

Creation And Preservation

The Bible says that God not only created the universe He is also presently preserving it. Creation is dependent upon God. The prophet Nehemiah wrote:

You alone are the Lord; You have made heaven, the heaven of heavens, with all their host, the earth and all things on it, the seas and all that is in them, and you preserve them all. The host of heaven worships You (Nehemiah 9:6).

Jeremiah commented:

He had made the earth by His power; He has established the world by His wisdom, and stretched out the heaven by His understanding. When He utters His voice - there is a multitude of waters in the heavens; he causes the vapors of earth to ascend from the ends of the earth; He make lightning for the rain; He brings the wind out of His treasuries (Jeremiah 51:15,16).

Days

There was a division of the creative activity into days. In the Old Testament the usual meaning of the Hebrew word for day, yom, is a twenty-four hour day. The days have usually been understood to be solar days, though there are other ways in which they may be viewed. As to the various ways we may understand the days of Genesis see our course Answering Bible Difficulties, Genesis: Volume 1).

New Testament

The New Testament gives reference to God as Creator. On Mars Hill the Apostle Paul said:

God, made the world and everything in it, since He is Lord of heaven and earth, does not dwell in temples made with hands. Nor is He worshiped with mens hands, as though He needed anything, since He gives to all life, breath, and all things (Acts 17:24,25).

John the Apostle writes:

You are worthy, O Lord, to receive glory and honor and power; for you have created all things, and by Your will they exist and were created (Revelation 4:11).

The Apostle Paul says the creation gives the atheist no excuse:

For since the creation of the world His invisible attributes are clearly seen, being understood by things that are made, even His eternal power and Godhead, so that they are without excuse (Romans 1:20).

When Paul wrote to the church at Corinth he refers to God commanding the light to appear in Genesis 1:3:

For it is the God who commanded light to shine out of darkness who has shown in our hearts (2 Corinthians 4:6).

Peter makes reference to Genesis 1:9:

For this they willfully forget; that by the word of God the heavens were of old, and the earth standing out of water and in the water (2 Peter 3:5).

Supernatural creation is an important truth that is emphasized in both testaments.

Testimony Of Jesus

We have already seen that the Scriptures testify that Jesus is the Creator. Last, but certainly not least, we have the testimony of Jesus Himself as to the creation account in Genesis.

Have you not read that He who made them at the beginning made them male and female, and said, For this reason a man shall leave his father and mother and be joined to his wife, and the two shall become one flesh? (Matthew 19:4,5).

Jesus quotes Genesis 1:27 and 2:24, which demonstrates that He believed God created Adam and Eve in the beginning.

If Jesus is the One whom He claimed to be, God the Son, then His testimony settles the issue. His Word is the final authority on every issue.

Summary

The following conclusions can be drawn from what the Bible says about creation:

1. The Scriptures give many references to the doctrine of creation. It is by no means something obscure.

2. God is assumed to be the Creator of heaven and earth. There are no arguments in Scripture given to prove it. His existence is accepted as a fact.

3. Creation was regarded as a historical event. There is no indication that the Scripture writers considered the story a myth.

4. There are many references outside of Genesis that add details to the creation narrative.

5. Scripture also teaches that creation was out of nothing - no preexistent materials.

6. Finally, and most importantly, Jesus testified to the fact that God created the heavens and the earth.

Ultimately, the Christian believes what God has revealed about creation because it has been recorded in His Word, the Bible. Though there was no human being present when it happened, God the Father, God the Son, and God the Holy Spirit, were there. Though not all details are included in the record, many facts are, and they should be understood in the same way as other Scriptures. Hence, the biblical account of creation recorded in Genesis should be accepted as what actually happened in the beginning.
 
Binadamu anapofikia mwisho wa kufikiri anaamini kuna kitu chenye upeo kuliko yeye ila hajui ni nini ! Fanya unachoweza mengine yaache kama yalivyo ubishi usio na jibu hauna maana . Dunia ipo milele ila shughulika na vinavyoonekana na upambane na hali yako .
 
Back
Top Bottom