Mjadala kuhusu programmers wa Kibongo na programming kiujumla

claudematemu

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
279
Reaction score
437
Wakuu kwema

Mimi kama software developer nimeona mjadala mkubwa huku kuhusu programmer wa kibongo kuwa bongo hakuna ma programmer hichi sio kitu cha kweli bana wapo tena. Wengi ni wewe tuu hujapata mtu sahihi

Tuanzie hapa anasema programmer wengi wa kibongo wanachukua template wana edit yes we do exist sasa mtu anakupa Kazi anakuambia nina laki 2 Nikikuambia unipe million 30 nikutengeneze website au system from scratch utanipa? Si utaniona mimi ni chizi sina akili? TunAfanya hivi kwa sababu hela ni ndogo.
Wewe from scratch unaijua? Definitely hujui

Programming ni consistent tuu na exercise pamoja na ku stick na sehemu moja. Labda ya web dev au mobile dev au game development or data science etc

Changamoto nyingine kubwa unakuta mtu anataka umtengeneze project ila cha ajabu na kushangaza hana hata documentation yeyote ya flow ya project yake yeye anatoa tuu kichwani daah disgusting 🤮
Nitaendelea hii pia ni tatizo

Tatizo lingine ni ujuaji mtu hajui coding lakini ni mkosoaji mkubwa
 
Hakuna mahusiano kati ya kuwa developer wa kitanzania au kimarekani. Jambo ni moja unajua au ujui.

Tusema mimi ni mtanzania, Bsc. SE nimesoma nje, hapa mimi ni developer kitanzania au huko nilikosoma?

Kama developer fanya kazi kwa standard za kimataifa, kuanzia documentation hadi code writing.

git, github, docker, hizi cloud infrastructure lazima ujue

Kati ya ugomvi mkubwa sana hapa kwetu ni hawa developer tia-maji tia-maji, Jaribu kumuambia developer akupe sample ta project alizofanya, au project open alizo contribute, uone jinsi anakushushia matusi na kuanza kujitapa anafanya project za ma makampuni makubwa makubwa na pia yeye ni hacker, hawezi kuonyesha code zake

Kumbe hamna kitu

Kuja jamaa alinitafuta anataka nifanye project, alikuja na idea tu ya APP na website. Nikamuambia mimi project siwezi ku code tu lazima nipate muongozo wa documentation ( features, flow, designing etc). Akaniambia hana, kwa kua idea alikua nzuri nikandaa mwenyewe nikamtumia, akaniuliza budget nikasema hii project sio ndogo na wewe huna office na mimi siwezi kufanya mwenyewe lazima ni employee, budget yangu ni 47M aise jamaa mpaka leo hajawai nitafuta tena

Hapa ukiwa developer wa kawaida hapa 5M unachukua projects unaunga unga templet un submit, baada ya mda unakuja kupokea threads zako JF

Wengine tuna standards zetu
 
Huwez una develop from scratch wakat unatumia Frameworks, .
Ingekua amri yangu, coding watoto walipaswa kusoma procedural paradigm kwa lazima.
 
Sahihi kabisa ndugu maintain your standards
 
Watz tunapenda kukosoa vitu vya kwetu...
Nilikuwa na Mzambia tunasafiri nae, aisee kasifia sana mifumo yetu, parking fees system, traffic system yaani kasifia jinsi tulivyopiga hatua....mbongo yeye ni kuponda tu...
 
We have something in common japo mimi sio developer.

Mimi sichukui mwanamke hovyo nibandue, kuna standards nimejiwekea nachukua mwanamke smart an beautiful.
 
Watz tunapenda kukosoa vitu vya kwetu...
Nilikuwa na Mzambia tunasafiri nae, aisee kasifia sana mifumo yetu, parking fees system, traffic system yaani kasifia jinsi tulivyopiga hatua....mbongo yeye ni kuponda tu...
Tuko mbali sana, nimefanya kazi na developers kutoka mataifa mengi Africa na India, wengi ni vilaza tu.
 
Watu wanadharau sana taaluma za watu....
Mtu anataka e-commerce kwa 50k
Anataka POS program kwa 80k
Alafu baadae unamkuta huku anasema hakuna maprogrammer...
Kwenye ujenzi ndio dharau zimezidi uko...
 
Mimi huwa sikubali fee za kijinga. Zinaumiza kila mtu
 
TZ kazi yoyote ile huwa inachukuliwa poa poa, hata hizi za mikono...tatizo Kuna ujuaji wa kijinga Kila field hata kama mtu hajui lazima atajifanya anajua na kuchukuliana poa.
 
Huwez una develop from scratch wakat unatumia Frameworks, .
Ingekua amri yangu, coding watoto walipaswa kusoma procedural paradigm kwa lazima.
Meta, Google, Amazon, Stripe, Airbnb n.k wote wanatumia frameworks.
Labda useme kutumia frameworks bila kufahamu vizuri language mama.
Ila ukifahamu vizuri kisha ukashika framework unatoa product nzuri kabisa.
 
Kwenye ishu za software development huwa tunasema "Don't re-invent the wheel". Kama modules unazozihitaji zinapatikana katika framework fulani tumia hizohizo. Ni ujinga kuanza kutengeneza from scratch kitu ambacho tayari kipo na kinapatikana!
 
Back
Top Bottom