claudematemu
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 279
- 437
Wakuu kwema
Mimi kama software developer nimeona mjadala mkubwa huku kuhusu programmer wa kibongo kuwa bongo hakuna ma programmer hichi sio kitu cha kweli bana wapo tena. Wengi ni wewe tuu hujapata mtu sahihi
Tuanzie hapa anasema programmer wengi wa kibongo wanachukua template wana edit yes we do exist sasa mtu anakupa Kazi anakuambia nina laki 2 Nikikuambia unipe million 30 nikutengeneze website au system from scratch utanipa? Si utaniona mimi ni chizi sina akili? TunAfanya hivi kwa sababu hela ni ndogo.
Wewe from scratch unaijua? Definitely hujui
Programming ni consistent tuu na exercise pamoja na ku stick na sehemu moja. Labda ya web dev au mobile dev au game development or data science etc
Changamoto nyingine kubwa unakuta mtu anataka umtengeneze project ila cha ajabu na kushangaza hana hata documentation yeyote ya flow ya project yake yeye anatoa tuu kichwani daah disgusting 🤮
Nitaendelea hii pia ni tatizo
Tatizo lingine ni ujuaji mtu hajui coding lakini ni mkosoaji mkubwa