Omela Odongo
Member
- Mar 26, 2021
- 47
- 67
Salam wanajukwaa,.
Ninaomba tupeani elimu kuhusu visima vya mafuta kwa sababu mafuta yanatumika sana,ukiona Magari,pikipiki,bajaji,mitambo mingi ya viwanda inategemea mafuta.
Tumeshuhudia migogoro mingi hasa mashariki ya Kati kwa sababu ya mafuta sasa swali ambalo nimejiuliza hata mafuta tangu yachotwe hayaishi? au kuna bahari ya mafuta huko chini ya ardhi kama ilivyo kwenye maji na kama kuna bahari ya mafuta huko yanakopatikana kwa nini sehemu nyingine hayo mafuta yasiwepo?
Mafuta yanatokana na nini hasa? Wenye elimu kuhusu mafuta namba mnielimishe?