Genecandy
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 492
- 884
Ni kweli kwa % kubwa refer jirani zetu msumbiji na kinachoendelea sasa khsu Alshababy wamechinja sana watu kisa tu Total kutaka kuchukua oil na Gas!!Kwani sasa hivi kila nchi yenye mafuta kuna vita?