Ulishasikia undani wa vita vya majirani zetu wa Msumbiji?
Hao wanaojiita alshabab walitokea baada ya raisi wa sasa Nyusi alipofutilia mbali mkataba wa wamarekani kutokana na kutokuwa na maslahi kwa nchi .. kisha kuwapatia kampuni ya ufaransa "Total" tenda ya uchimbaji.
Mkataba wa mwanzo uliokuwa umefanywA na mtangulizi wake Armando, unasemekana haukua na manufaa kwa nchi (kama ilivyokuwa kwa ule mkataba wa bandari ya bagamoyo)
Kwa kiasi kikubwa mafuta ndo kati ya chanzo cha machafuko mengi yanayoendelea duniani.