Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Vijana wengi wakataa ndoa ni wasukuma kutoka mwanza. Uko mwanza kuna nini?! Mbona lile jitu lenu mwendazake aliwaambia mfyatue watoto?
 
Pole sana ila nikushauri

Kama umefata mkumbo wa humu nakupa pole.... Wenzio ni entertainer humu, wakilog off , wana go there and hug their wives and kids.

Usichukue kila kitu kwenye hii mitandao unless umeridhia.

Pole sana
"Sitaki ushauri kwa akili zangu timamu wala sijalazimishwa nimeamua kuwa balozi wa chama"

Mleta uzi alianza mwanzoni kwa maneno hayo
 
Kama hutaki ndoa Hakikisha unatengeneza pesa za kutosha uweke na mfanyakazi awe anakusaidia kwenye ishu ndogo ndogo.

Yaani unakuta kijana wa makamo miaka 30+ na upara kichwani anakomaa kusugua sufuria
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Pole sana ila nikushauri

Kama umefata mkumbo wa humu nakupa pole.... Wenzio ni entertainer humu, wakilog off , wana go there and hug their wives and kids.

Usichukue kila kitu kwenye hii mitandao unless umeridhia.

Pole sana
Kataa utumwa

Kataa Unyonyaji

Kataa Ujambazi

Pinga Ndoa

Kataa Ndoa
 
Pole sana ila nikushauri

Kama umefata mkumbo wa humu nakupa pole.... Wenzio ni entertainer humu, wakilog off , wana go there and hug their wives and kids.

Usichukue kila kitu kwenye hii mitandao unless umeridhia.

Pole sana
Palina to the rescue 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…