Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Utajua sasa sisi huku bible tu plus kukupaka wese utashushia water la mwamposa

Kikosi kinapanukaaaaa tu

Kama unatumia web au ile app mpya kwenye kila message unayoona bonyeza +quote baada ya kubonyeza kwa message zote ulizoona unataka kureply rudi chini sehemu ya kuandika reply bonyeza insert quote kisha insert baada ya hapo unajibu moja moja unareply

Message==reply==comment;

Hehehe et walewale poleeeee

[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu hivyo ni kupoteza mda huwezi quote message nyingi kwa njia hiyo

Kabisaaaa mkuu

Asee nahisi hii feature ni kwa web users only. Mana nimedanlod app mpya lakn haina option ya ku add quote.,, wakat nikiingia Kupitia web napata option ya ku add quote.

Kutumia web hua nakereka na ile pagenation.
 
Vijana wengi wakataa ndoa ni wasukuma kutoka mwanza. Uko mwanza kuna nini?! Mbona lile jitu lenu mwendazake aliwaambia mfyatue watoto?
 
Pole sana ila nikushauri

Kama umefata mkumbo wa humu nakupa pole.... Wenzio ni entertainer humu, wakilog off , wana go there and hug their wives and kids.

Usichukue kila kitu kwenye hii mitandao unless umeridhia.

Pole sana
"Sitaki ushauri kwa akili zangu timamu wala sijalazimishwa nimeamua kuwa balozi wa chama"

Mleta uzi alianza mwanzoni kwa maneno hayo
 
Kama hutaki ndoa Hakikisha unatengeneza pesa za kutosha uweke na mfanyakazi awe anakusaidia kwenye ishu ndogo ndogo.

Yaani unakuta kijana wa makamo miaka 30+ na upara kichwani anakomaa kusugua sufuria
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Pole sana ila nikushauri

Kama umefata mkumbo wa humu nakupa pole.... Wenzio ni entertainer humu, wakilog off , wana go there and hug their wives and kids.

Usichukue kila kitu kwenye hii mitandao unless umeridhia.

Pole sana
Kataa utumwa

Kataa Unyonyaji

Kataa Ujambazi

Pinga Ndoa

Kataa Ndoa
 
Pole sana ila nikushauri

Kama umefata mkumbo wa humu nakupa pole.... Wenzio ni entertainer humu, wakilog off , wana go there and hug their wives and kids.

Usichukue kila kitu kwenye hii mitandao unless umeridhia.

Pole sana
Palina to the rescue 😄
 
Back
Top Bottom