Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Ukifatilia Story za Mitandaoni, unaweza amini wanawake wote/karibia wote walioolewa wanagongwa nje.

Ila mtaani mambo hayako hivyo.
Ila Wanawake wa Mtandaoni wengi wao hawana utulivu wa akili na wana wenge sana mpaka inapelekea hata ule muonekano wa miili yao kuchakaa
 
Matak baba ako na mama ako
Na vizazi vyako vyote mata-call

Wenzio wanajibu kwa hoja wewe unakazana kutukana it show how kwa brain uko empty

Toa hoja acha kutukana ikibidi baki huko tik tok na fB sawa toto
 

Umeona una relate expérience ya bamdogo wako kwa wenzio[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Idadi ya wakataa ndoa inazidi kuongezeka sababu ya kutaka uhuru.
Ukiwa kwenye ndoa umejiingiza gerezani ukitumikia masharti mpaka kufa kwako.
Si rahisi kwenye ndoa kufanya unachotaka ukilinganisha na wasio kuwa na ndoa maana ujiamlia wanachotaka.
Leo uwezi kukesha bar ovyo,kutumia pesa ovyo,starehe zisizo na sababu.

Ndio maana unaulizwa mara tatu tatu utakubari kwenye shida na rahaa.
Usioe wala usiolewe kama ujamaliza uhuru wako .
 
Kama watoto wa baba na mama mmoja wanaweza wasipatane sembuse mtu wa kutoka culture nyingine kabisa huko utaiva naye?

Finland binti na kijana wanaishi pamoja kabla ya kuoana ili wachunguzane tabia, na hiyo imewasaidia kuona kama wanafaana au laa

Huku kwetu tunauziana mbuzi kwenye gunia na tunauziana punda akiwa shambani, matokeo yake ndiyo hizo ndoa 300 zinazovunjika Dar kwa mwezi
 
Hapo kwenye mke sahihi wa kuoa ndio shida na wanabadilikaga

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mmmh!! Nimejikaza sana ili nisicheke ila kwa hii comment sina mbavu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…