Bado hii si uhalalishaji wa kutokuoa.. Kuoa ni lazima changamoto ni kutafuta mtu sahihi, ukikosea we tulia tu..
Na ya nini kulalamika mtu anatombewa mke wakati yeye anatomba nje vizuri tu, kwenye suala la kusalitiana kila mmoja huwa anajiona ananhaki ya kusaliti lakini sio kusalitiwa.
Tuanze kwanza sisi kuwa waaminifu, ukitomba ujue kutombewa kupo, ukigawa utamu nje ujue nawe kuibiwa kupo.
Wote tulipaswa tujue ndoa ni nini, tunaoa kwa sababu zipi, kilq mtu anaoa kwa sababu zake binafsi,
Mie naona ndoa imeanzia katika vitabu vya dini tumeamriwa tuoe, ila tunajiolea bila kufata taratibu za dini za kumpata huyo wa kuoelewa..
Pili, tunafata baadhi ya sheria sababu zinatufavor kama vile ndoa, ila mambo mengine tunaweka kando, hatuwezi kufika.
Wote tunaotaraji kuoa siku moja tuyafanyie kazi haya..