Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mfumo walioutumia wazazi wetu, Kanuni wanazozitumia ndani ya Ndoa mpaka wamefikisha uzee sio mfumo wa sasa na sio Kanuni za sasa zinazotumiwa na Vijana WA SASA.
Hiyo ndio Sababu ya hoja za wanao kataa ndoa.

Wewe huoni kuwa wanahoja?

Haha ndoa kwa ajili ya sex tu uislam unazanj stareh n moja ya sex
 

Hawajawahi kuelewa, Acha yawakute.

#YNWA
 
Uko sahihi ni kupambana tujenge harafu tuanze kufaidi chuchu konzi hamna kuoa ni kupiga mimba tu
 
punguza umalaya dunia haijawai kuishiwa wanawake wazuri toka enzi za kina delila,hawa, n.k

Tafuta chombo smart ishi nayo....

Aje akuogeshe ukiishiwa nguvu 80+ age
Unajuwaje utatoboa 80
 
Hio namba mbili haipo serious
 
For sure,kaja kishabiki tuu bila hoja ya msingi saabu ya huu upepo unaopita wa kataa ndoa.
Wanadhani sifa sana kumbe ni ujinga mwingi.
Ndoa ipo kwaajili ya faida ya mke, hata watoto unaowahangaikia watakuja kukutelekeza na kumjali mama Yao, cha muhimu ni kuwa na cash na kuwapelekea moto ma pisikali kama Diamond
 
Vijana wanaokataa ndoa wanayo hoja moja nzito sana japo wengi wao hawawezi kusema kwa sababu wanahisi jamii itawaona dhaifu vijana wengi hawana ajira rasmi yaani ajira za uhakika wengi wao wamejipanga yaani unakuta kijana ana kila kitu kama ni makazi anayo gari anayo lakini ukweli ni kuwa kipato kinatokana na harakati za mjini yaani ni mwendo wa kuunga unga mwana japo ukweli ni kuwa harakati zao zinawapa uhakika wa kuishi vizuri mjini changamoto inakuja hawana ile kitu inaitwa uhakika wa maisha ikitokea akaugua akalala ndani kwa wiki nzima mke ataishi vipi hawasemi lakini huo ndio ukweli
 
Nilijua huu uzi utakuja huku [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wakuu habari zenu,

Msanii Stamina ameachia nyimbo aliyomshirikisha Bushoke, kwakweli umetoa ujumbe mkubwa unaoongelea changamoto zinazotokea majumbani katika ndoa nyingi.

Kupitia video hiyo unaweza kuona maumivu wanayopitia vijana mpaka kuja na movement ya Kataa Ndoa, japo sijui kuhusu ndoa wala sisapoti wala kuipinga movement hiyo.

Lakini ukweli upo wazi vijana wengi wanakiona cha mtema kuni. [emoji23] Y’all Stay Safe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…