Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mfumo walioutumia wazazi wetu, Kanuni wanazozitumia ndani ya Ndoa mpaka wamefikisha uzee sio mfumo wa sasa na sio Kanuni za sasa zinazotumiwa na Vijana WA SASA.
Hiyo ndio Sababu ya hoja za wanao kataa ndoa.

Wewe huoni kuwa wanahoja?

Haha ndoa kwa ajili ya sex tu uislam unazanj stareh n moja ya sex
 
Kama watoto wa baba na mama mmoja wanaweza wasipatane sembuse mtu wa kutoka culture nyingine kabisa huko utaiva naye?

Finland binti na kijana wanaishi pamoja kabla ya kuoana ili wachunguzane tabia, na hiyo imewasaidia kuona kama wanafaana au laa

Huku kwetu tunauziana mbuzi kwenye gunia na tunauziana punda akiwa shambani, matokeo yake ndiyo hizo ndoa 300 zinazovunjika Dar kwa mwezi

Hawajawahi kuelewa, Acha yawakute.

#YNWA
 
Hello balaa linaendelea hatupoi wa hatuboi.

continued assurance of excess supply of nice women and chicks in the markets can not be spoiled with marriage absurdity no no surely.

Nina ujumbe mfupi kwenu, mimi siwezi kuoa na kukiuka kanuni ya uchumi, how do we bother keeping goods in stores or stocks especially these inflammatory goods when the markets has assurance and trends ever shows extremely and excess supply of goods, the warehouses arent enough, soko itaamua itakavokuwa.

Watoto wazuri wanaingia soko kila siku tena Kwa wingi kuliko uhitaji wa soko wewe unachukua kamoja au wanne unahifidhi kama toshelevu una akili. no no

We are sure the markets is fine and from the source the farmland fertility has shown that.

If you don't have cash to buy goods on daily basis keep yours in stores, leave us those with cash and who knows the markets supply trends on our own.

Regrets is not our language we know how to behave as per market situations surely.

Ukiwaambia Mbuzi sema meeee meeee nao wakijibu meee meeee somo limeenda vizuri.
Uko sahihi ni kupambana tujenge harafu tuanze kufaidi chuchu konzi hamna kuoa ni kupiga mimba tu
 
punguza umalaya dunia haijawai kuishiwa wanawake wazuri toka enzi za kina delila,hawa, n.k

Tafuta chombo smart ishi nayo....

Aje akuogeshe ukiishiwa nguvu 80+ age
Unajuwaje utatoboa 80
 
2 - Kampeni ya kijinga ya kataa ndoa
Hili swala la ndoa ni swala binafsi sio swala la umma. Hawajamaa wa kataa ndoa nawashangaa kwa nini wanaforce sana wenzao nini agenda nyuma ya pazia?

Watu wako kwenye ndoa kwa sababu
1. Ndoa ni Ibada

2. Ndoa inakuepusha na magonjwa

3. Ndoa inaleta familia bora. Watoto wa ndoa na walio nje ya ndoa wanatofaut kubwa sana. Malezi bora yanaanzia ndani ya ndoa. .

4. Hata nikifa leo najua hakuna mwenye kuwalea wanangu vizuri kama mama yao. Ana uchungu na damu yao

5. Kama nikoangika leo najua hakuna wa kunisimamia na kunitunza kama mke wangu. Sio mara ya kwanza ila huyu mwanamke Mungu ampe maisha marefu. Wakati nikiwa chini sana lowest of my life she was there. Niliumwa nikalazwa modern hospital hata ndugu zangu waliondoka alikesha kwenye mabench hajala hakutaka hata kupndola hospital. Namshukuru sana kwa kwel hakuwah niacha kwenye shida zangu. .

6. Toka niingie kwenye ndoa nimenawiri sana. Nimepata mafanikio makubwa sqna mbali na kujenga nimefanya maendeleo makubwa sana. .

7. Tafuta mtu sahihi ndoa sio mbaya. Unaokota wanawake au wanaume wa hovyo unakuja kulalamika. Wewe mwenyew ni mtu wa hovyo unataka upate mtu sahihi. .

KUBALI NDOA
NDOA NA MTU SAHIHI
NDOA NI MAISHA. .
Hio namba mbili haipo serious
 
For sure,kaja kishabiki tuu bila hoja ya msingi saabu ya huu upepo unaopita wa kataa ndoa.
Wanadhani sifa sana kumbe ni ujinga mwingi.
Ndoa ipo kwaajili ya faida ya mke, hata watoto unaowahangaikia watakuja kukutelekeza na kumjali mama Yao, cha muhimu ni kuwa na cash na kuwapelekea moto ma pisikali kama Diamond
 
Vijana wanaokataa ndoa wanayo hoja moja nzito sana japo wengi wao hawawezi kusema kwa sababu wanahisi jamii itawaona dhaifu vijana wengi hawana ajira rasmi yaani ajira za uhakika wengi wao wamejipanga yaani unakuta kijana ana kila kitu kama ni makazi anayo gari anayo lakini ukweli ni kuwa kipato kinatokana na harakati za mjini yaani ni mwendo wa kuunga unga mwana japo ukweli ni kuwa harakati zao zinawapa uhakika wa kuishi vizuri mjini changamoto inakuja hawana ile kitu inaitwa uhakika wa maisha ikitokea akaugua akalala ndani kwa wiki nzima mke ataishi vipi hawasemi lakini huo ndio ukweli
 
Vijana wanaokataa ndoa wanayo hoja moja nzito sana japo wengi wao hawawezi kusema kwa sababu wanahisi jamii itawaona dhaifu vijana wengi hawana ajira rasmi yaani ajira za uhakika wengi wao wamejipanga yaani unakuta kijana ana kila kitu kama ni makazi anayo
Nilijua huu uzi utakuja huku [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wakuu habari zenu,

Msanii Stamina ameachia nyimbo aliyomshirikisha Bushoke, kwakweli umetoa ujumbe mkubwa unaoongelea changamoto zinazotokea majumbani katika ndoa nyingi.

Kupitia video hiyo unaweza kuona maumivu wanayopitia vijana mpaka kuja na movement ya Kataa Ndoa, japo sijui kuhusu ndoa wala sisapoti wala kuipinga movement hiyo.

Lakini ukweli upo wazi vijana wengi wanakiona cha mtema kuni. [emoji23] Y’all Stay Safe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom