Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Wakati naongeza wake wawe wanne wewe unakataa ndoa sijasoma thread yako lkn ndoa ni must Tena awe mke mzuri
 
Hapana mume ni mfalme lazima awe na wake wa kumhudumia.

Ukiwa na Wanawake wanakuhudumia wewe.

Ukiwa Huna mke ni kama chokoraa tu.. na ukiongeza wakiwa wengi unakuwa kings
Wee wee wee weeh
Ukiwa huna mke ni kama nani...!!!?
 
Mkuu hakuna maisha bila ya ndoa, nilikua nikipinga kama ww na kujifanya kuwa hawezi kwenda, Ila nimejiona Niko wrong baada ya demu wangu juzi kuolewa na mwamba, inauma sana, sana, headech, kila time unafkria kwa nn sikumuowa wakati demu kutwa alikua anasisitiza anataka ndoa, sasaivi yuko huko anakojozwa week ya pili hii. Mapenzi sio poa, na sjui kidonda hiki kitatulia lini aseee na sioni dalili kwa siku hizi kmmke
 
What a fucking mind u marry for fucking ??
 
Hapana mume ni mfalme lazima awe na wake wa kumhudumia.

Ukiwa na Wanawake wanakuhudumia wewe.

Ukiwa Huna mke ni kama chokoraa tu.. na ukiongeza wakiwa wengi unakuwa kings
Unajidanganya mzee ilo ni kimbora ni swala la muda tu.
 
IF YOU NEED HER YOU ARE WEAK..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…