Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mitihani yote niliyompa yule binti kanipigia mabanda kila kiunzi nilichomwekea mtoto wa kike kakiruka, mkuu mambo yakiwa sawa namweka ndani kuna kipindi akaniambia we km una wanawake zako huko endelea nao tu sitakufuatilia Ila isiwe sababu ya kunisahau mimi najua mwanaume hawezi kua na mwanamke mmoja, nikasema eenhe hapa ndio penyewe napenda niwe treated like a king ulisikia wapi mfalme ana mke mmoja?
Mtego huo ......STUKAAA

Ila sijasema usioe.
 
Nasikia kajinyonga...afu ashawaigi kupata kesi ya kurawiti mtoto lakini wakaiminya kisela....matokeo yake karma is real
Kuna yule manzi wa Zenji ilivuja clip anapakuliwa bonge la shimo, sikusikisia kwamba amejinyonga ameendelea na maisha mengine Ila jamaa kajinyonga kweli au tetesi?
 
Ni yule niliyemshauri mda mwingi tukiwa sehemu za starehe kitambaa cheupe tukipata K vant kubwa na Windhoek za Kopo baridi, mda mwingi tuliwaza pesa na kula bata ila mwenzangu akawa busy kukusanya pesa za Mahali. Nilikwambia hiyo million mbili bora twende kidimbwi tuagize kuku wa kuchoma na jack Daniel kubwa ila akasema mimi sio mtu mzuri namfudisha upumbavu

Vijana nawasihi mjipende wenyewe kwanza, hawa wanawake siku hizi wamekuwa tooo cheap Sasa unaowa ili iweje. Unaleta stress za ajabu tu nakujaza majukumu ndani ya Familia unakosa hata pesa ya kula kitumbua barabarani mda wote unawaza bajeti ya kula na kusomesha watoto

Sasa kwakumalizia jamaa kaja kwangu Jana usiku analia anaomba msaada mke wake kamtoroka alimtumia meseji akasema hawezi ishi na JITU ambalo halina pesa. Ona Sasa haya mambo, kabla ya sasa jamaa alikuwa yupo vzr ila mke ndokamfilisi. Jamaa kawajengea wakwe zake ila wazazi wake wa kumzaa wanaishi kwenye banda la nyasi na kuta la Mavi ya punda. Mke wake waliyeachana saizi yupo Kwa wazazi wake anakaa kwenye mjengo mpyaa ambao jamaa aliwajengea

Finally, jamaa yupo hapa kwangu mda huu Hana hata pakulala mke ameuza kila kitu kodi ya nyumba anadaiwa. Linakoroma tu sijui nilipake mafuta [emoji30][emoji31]🥱
Usijiroge ukahudumia wakwe
 
Hayo matoto ya kiume yakiwa makubwa yanakuwa manyanyasaji kwa baba zao wa kambo, ukitokea ugomvi kidogo tu na mama yao, yanasepa na mama yao mzee unaachwa ukitaabika.
Dah! Umeongea ukweli mchungu Sana. Kuna dogo hapa mtaani kajenga nyumba ya miti akahamishia mama yake. Baht mbaya mzee baba Sasahivi yupo Kama mwehu....
 
kama kilivyo kichwa cha habari!! namimi rasmi nimeamua kuunga mkono kampeni, hii ni baada ya kugundua kuwa wanawake wengi wanatumia ndoa kama chanzo cha kujipatia mitaji yaani anafunga ndoa baada ya muda anaanza visa ili mgawane mali ulizozichuma kwa jasho lako.. so sad ama kweli ndoa ni utapeli
 
kama kilivyo kichwa cha habari!! namimi rasmi nimeamua kuunga mkono kampeni, hii ni baada ya kugundua kuwa wanawake wengi wanatumia ndoa kama chanzo cha kujipatia mitaji yaani anafunga ndoa baada ya muda anaanza visa ili mgawane mali ulizozichuma kwa jasho lako.. so sad ama kweli ndoa ni utapeli
Japo umechelewa kujua hilo bado muda unao
Usiogope ndo mambo yalivyo.
Ngoja waje watakupa full details sawa mkuu
 
Uko siriazi kweli, na huyu unataka nani amuoe?
y11.jpg
 
Back
Top Bottom