Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Sahihi pia. Tunaanza na Me sababu nyie ndio vichwa vya familia. Ujue mwanaume ukiwa unajitambua unaweza kumshape Ke akakaa kwenye mstari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli lakini wachache wapo tayar kubadilika wanawake wa saiv wengi much know ukimuelekeza hivi anaona ka unamnyanyasa unakuta anaamini zaid ushauri anaopewa na ma shoga zake huko kuliko kukusikiliza ww mume wake sasa uta mshape vipi??
 
Nyuma ya ajenda yenu ya kukataa ndoa ndio mnahimiza U-LGBTQ.....wazee wa upinde kasi yenu kubwa sana
Yule Askari wa Zanzibar alieliwa juzi alikua mwana ndoa em leteni facts zitazowabadilisha vijana ili waoe lakini sio kuleta nonsense ka hizi
 
Ni kweli lakini wachache wapo tayar kubadilika wanawake wa saiv wengi much know ukimuelekeza hivi anaona ka unamnyanyasa unakuta anaamini zaid ushauri anaopewa na ma shoga zake huko kuliko kukusikiliza ww mume wake sasa uta mshape vipi??
Ikifika hapo basi tena hakuna namna unakua umeoa kimeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikifika hapo basi tena hakuna namna unakua umeoa kimeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hapo sasa wanawake wa saiv wanapofeli ni kuanza kumchukulia mme wake kama mshindani sio mume anayatakiwa kumsikiliza nadhani wanaharibiwa Sana na hawa ma feminist ambao wao mahusiano yao na wanaume yalishawashinda
 
Hello,

Kauli mbiu ya mapenzi ni utumwa imepitwa na wakati, zama hizi za muda mchache mambo ni mengi "Haina kuforce" itakusaidia sana wahenga wasema, kisicho riziki hakiliki. Watu wa zamani walijaaliwa akili kubwa sana.

Na usiache kutafuta pesa ili uishi na kuona uhalisia katika nyanja mbalimbali.

Tuishi na kauli yetu kataa ndoa ni janga la dunia.
 
Yule Askari wa Zanzibar alieliwa juzi alikua mwana ndoa em leteni facts zitazowabadilisha vijana ili waoe lakini sio kuleta nonsense ka hizi
Hzo ni zuga tu,lgbtq wanaingia kwenye ndoa kuzuga tu ila ukweli marinda washatatuliwa na wengi wanaingia ili kutojulikana na kupunguza pressure kwao ila mlioamua kujilipua ndio kama hvyo mmekuja n
 
NDOA NI (BUSINESS CONTRACT) ..... AMBAYO VIPENGELE VYOTE VYA MKATABA VIKO UPANDE WA MWANAMKE.
 
Kula vizuri
Kuvaa vizuri
Kufanya mazoezi
Kunywa maji mengi
Kulala mapema
Lkn hakikisha pochi lako si la kinyongee.
#kataa ndoa# tunza afya ya akili
 
Kwa hiyo umeshindwa kumpiga talaka?
Au unaogopa kugawana kilichobakia wakati yeye kafanya emblezement?

Hizo hekalu zimerudi mikononi mwako?
Au ndio punda wa dobi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…