Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mzee una points ujue!
 
Mkuu bora uewapa ukweli watarajiwa, marriage is hard tofauti na inavyoaminishwa. Sijaoa na sitarajii hivi karibuni (I have kid na ndio kitu muhim kwangu) lakini migogoro ninayoisuluhisha aisee wenye ndoa bigup kwennu. Kutoka kwenye sample yangu only 10% seems like they are enjoying and because wake wao ni wa mama wa nyumbani with no formal education, the rest are regreting.
 
Deadly mistake, how the hell did you give her the chance to be a director of your company? Thats giving a woman such power that she can never handle at all!
 
Positive thinking, marriage is not for everyone.
 
Na ukitaka ku enjoy mahusiano yako
Tafuta mtu asie na kitu na ikibidi hata elimu tu
Anatakusikiliza
SIO WOTE ila ni ngumu sana kum control mwanamke mwenye fedha ni ngumu! Narudia ni ngumu!
 
Na ukitaka ku enjoy mahusiano yako
Tafuta mtu asie na kitu na ikibidi hata elimu tu
Anatakusikiliza
SIO WOTE ila ni ngumu sana kum control mwanamke mwenye fedha ni ngumu! Narudia ni ngumu!

Hata mwanamke akiwa maskini na mjinga.. ndoa sheria inambeba.. ndugu zake watamshauri maujinga kibao.. mdogo mdogo anaanza maseke seke
 
NDo maana hua nakaa naangalia kiberiti changu kikiwa kinapiga mayowe, nawazaaa, nasonya, nampiga miti af life linasonga.
 
Deadly mistake, how the hell did you give her the chance to be a director of your company? Thats giving a woman such power that she can never handle at all!
When I was away, that's was the only option man
 
Deadly mistake, how the hell did you give her the chance to be a director of your company? Thats giving a woman such power that she can never handle at all!
Lakini hii ndio ilitakiwa iwe maana halisi ya ndoa "ushirikiano, uaminifu na kujitoa for each other" kukiwa na doubt ktk haya sioni kama kuna umuhim wa ndoa, ile meaning ya mwili moja inakua haipo mnabaki wawindanaji 😃😃
 
kufuga toto la mtu ulilokutana nalo ukubwani sio kazi nyepesi.. tena kwa dunia ya sasa?
team kataa ndoa, sidhani kama wamekurupuka, kuna kitu wamekiona.
 
Nipe namba ya simu ya huyo waifu wako!!!nimeuleze Jambo!!!
 
Ulikosea kumwachia biashara mwanamke,Baba ndio controller wa Kila kitu kwenye familia mke ni msaidizi,mwanamke acontrol kama haipo Duniani ulikosea kugawa full madaraka.

Just imagine?
wanaume siku hizi Tunazidi kupungua. eti mtu anamuachia biashara mwanamke kisha mwanamke huyohuyo anaiba pesa na kujenga mijengo miwili na gari kwa ndugu, halafu linakuja hapa eti “Marriage iz not eazy” si ajabu pengine mke wako alikuwa anamtunuku kiben-10 huko nje

pumbavuuuu ATASEEEE!!!!!

So stupid
 
Mbona ulioa na kelele za ndoa hazijaanza leo ina maana hujawahi kusikia acha watu waoane
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tatizo unatusimulia na kutushauri kwa kizungu hivyo tunaona kama una famasiala tu
 
O
Lakini hii ndio ilitakiwa iwe maana halisi ya ndoa "ushirikiano, uaminifu na kujitoa for each other" kukiwa na doubt ktk haya sioni kama kuna umuhim wa ndoa, ile meaning ya mwili moja inakua haipo mnabaki wawindanaji 😃😃
Ofcourse mwili mmoja ni kisiasa but lazma ujiongeze ndio maana ya matumizi ya akili ukiwa na mwanamke. Mpende mwanamke sana ila usimfanye priority when it comes to sensitive issues zinazohusu hela. Let her be somewhere below your neck.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…