Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mwanaume unatakiwa kutumia akili siyo emotion kama mwanamke, hapo ndoo kosa lilipoanzia.
 
Leo nimeona Dr Dre akisema tangu waachane na mke wake amepata amani ya roho hajawahi ipata
Ila mimi binafsi sijaoa ila hizi agenda za kataa ndoa zinaniweka njiapanda.
 
kufuga toto la mtu ulilokutana nalo ukubwani sio kazi nyepesi.. tena kwa dunia ya sasa?
team kataa ndoa, sidhani kama wamekurupuka, kuna kitu wamekiona.
Wanawake wa sasa wanyonyaji sana
Kuna familia, Mwanamke anakazi yake nzuri tu na mwanamme anakazi yake ila mshahara wa mwanamme ndio wa matumizi kila kitu plus kusomesha watoto alaf wa mwanamke haujulikani unaenda wapi watu wanamiaka 10 kwenye ndoa.
Hii story nimedhibitishiwa juzi nimebaki nacheka tu
 
na wengi kwenye ndoa ndio hivyo.
wanamsemo wao "cha mwanamke chake, cha mwanaume cha wote" na hapo hapo wanajiita ni wanandoa eti ni mwili mmoja!
 
Ukweli ni kuwa wanawake ni pasua kichwa sana , ukiwa serious sana na mwanamke unakufa mapema , mali zinapita tuu , cha msingi kama una wazazi wapo healthly wanakula na wana amani it is okey , kama we ni mtu wa kusali na unamkumbuka muumba wako it is okey , ndugu na jamaa unawasapoti hapa na pale it is okey , mke ana nafasi kubwa ya kufaidi zaidi kama familia unahudumia vyema pia it is okey , hayo ndo ya msingi jombaa , kupata mwanamke anayetambua thamani ya familia na mme wake ni kubahatisha sana , hata hvyo lazima maisha ya ndoa yaendelee , na watu wataendelea kuoana tuu hakuna namna , na kuchapiwa pia kuko pale pale , taasisi ya ndoa itakuwepo tuu milele zote
 
Ndoa sio kama wengi wanavyoichukulia, kuna tofauti kubwa sana kabla na baada ya ndoa. Kikubwa kwenye ndoa ni kuenzi utamaduni, kuwaheshimisha na kuwaheshimu wazazi, kutii maagizo ya dini na kiungo cha familia yako. Mleta mada kaandika experience aliyoipata ambayo inawawakilisha wengi walioko kwenye ndoa.

Ibaki kuwa ndoa ni maamuzi yako mwenyewe.
 
Most of the time i think posts like this are fake, Most of them are written by people who are pathological liars and never ending story tellers.

And where is the evidence? this feels very fake! Marriage zina matatizo yake lakini we ulizubaa wapi yote hayo yakatokea?

Mi navojua wanaume wengi wana akili nyingi sana mpaka umchezeshe aisee ni shughuli pevu labda umloge (if at all uchawi unafanya kazi katika hili) Ndio maana wengi tunaamini wanaume wanaoburuzwa na kuibiwa kiboya wamelogwa.

Guys pesa haipatikan kirahisi, huwezi muachia mtu ajifanyie atakayo kwa pesa zako ambazo ni hard earned. Eti hukagui hesabu siku zote hizo thubutu!!! Nyie wanaume wa hivi mnapatikana wapi aisee mi sijawahi kuwa na boya hata mmoja! Labda sababu i'm sapiosexual, napenda watu wenye akili na watu wenye akili sio rahisi kuwapiga!
 
Sio kila pesa ni hard earned, and to some of us to make money and to start again is just a game..
BTW sapiosexual nikulize utaiba vitu ambavyo hamna?
 
Hayajakukuta wewe, aliyoandika wengine yametukuta ila tuko kimya tuu, sio lazima umwamini lakini kama una la kujifunza chukua linaweza kukusaidia maishani mwako
 
Do your father and mother share the same idea and stance? Just imagine. If they were as gullible as you are where would you be today? Stop this stupidity of generalizing everything as if all things are the same. What you went through are just normal. What you need to do is move ahead instead of generalizing one incident as if it is a typical replica of every marriage. Try to sit down and ponder on the matter afresh and see another side of it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…