Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Hello family,

Hivi karibuni imekuwa adimu kupata manzi anaekuja ghetto akajiongeza kupiga deki chooni, usafi, kutoa buibui, kuulizia nguo chafu, kuuliza ishu za kupika, kuangalia mapungufu ya ghetto na kushauri.

Baada ya kuyashuhudia haya chonde chonde wakataa ndoa tusilaumiwe kwa chochote tafadhari.

Hii kampeni ya kupinga ndoa ni endelevu hadi pale wanawake watakaporudi kwenye misingi sahihi yenye kuleta chachu ya kuoa.

Inakera manzi anakuja ghetto hana faida yoyote nje na papuchi.

Ni hayo tu

Wadiz
 
Screenshot_20230507-192434~2.png
 
Hii Clip imesambaa sana weekend hii,na ni sauti ya Mzee mmoja ambaye alikuwa kwenye sherehe ya harusi ya mjuu wake,Kubwa ni kwamba Mzee ana mke ambaye amedumu nae miaka 42,yaani anivasari ya NDOA Yao miaka 42 pika pakua,Mc akaona aseme machache amewezaje miaka yote hiyo ili mjuukuu wake aige👇
 

Attachments

Ukitaka kuenjoi ndoa oa kuanzia wake 2 na kuendelea , hakika raha yake utasimulia vizazi vyote.
 
Back
Top Bottom