Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Screenshot_20230510-233754~2.png
 
Hello great denialists!!

Nawakaribisha katika uga wa sifa na kudumisha misimamo yetu ya kukataa ndoa na kukataa kuoa.
Kama kawaida yetu msisitizo wetu ni kusaka pesa kutafuta pesa kutumia pesa pesa zituzoee bata lituzoee tukiamka nikutafuta pesa pesa pesa ndio msingi wa maisha na jeuri ya pesa.

Hatuna muda wa kupoteza kuwaza ukurutu na miwasho ya ndoa na kuoa.

Hatuwakatazi kuoa na kufunga ndoa kila mtu afanye maamuzi yake free tusipangiane maisha.

Naomba wakataa ndoa na wakataa kuoa tufunike kwa visa na mikasa na macontent ya maana.

Tutafute pesa na pesa ndio msingi wa busara, ukomavu na jeuri yoyote, katika harakati hizi tuchangie harakati za maendeleo, tuiunge mkono serikali, tumuunge mkono ndugu Rais, na viongozi wa ngazi zote.

Sehemu yoyote ile sisi wakataa ndoa na wakataa ndoa tuwe kielelezo cha amani, utulivu, kutii sheria, kuwa mfano mzuri tusiwe wagomvi, tusitukane, tuwe wastaarabu.

Hii itasaidie wengi wajikatae na wajiunge kundi letu tukufu la sisi wakataa ndoa na wakataa kuoa maarufu hapa jukwaani na mitaani.

Tujipende tusikose mademu angalau 3 hadi 5 kwa utulivu zaidi na ubora wa saikolojia na afya ya akili katika utafutaji.

Tuiombee Arsenal FC iendelee pia kutoa upinzani na ipate ubingwa Inshallah. 🙏🙏🙏

Wadiz
 
Kumbe kuna tofauti kati ya Ndoa na Kukataa Kuoa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👋👋

NDOA YA DINI + NDOA YA MILA = NDOA NA KUKATAA KUOA..Aisee🐒

Sasa nimewaelewa vizuri waendesha hii kampeni.. Bipolar is real 🤦
 
Ndoa na kuoa ni maneno tofauti na jumbe tofauti uhuisho uwe kwenye mema na madhaifu yake. Not all kuoa are ndoa and not all ndoa are kuoa, mfikirisho huo.
Kumbe kuna tofauti kati ya Ndoa na Kukataa Kuoa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👋👋

Sasa nimewaelewa vizuri waendesha hii kampeni.. Bopolar is real 🤦
Ila sisi makataa hatutaki vyote
 
Ndoa na kuoa ni maneno tofauti na jumbe tofauti uhuisho uwe kwenye mema na madhaifu yake. Not all kuoa are ndoa and not all ndoa are kuoa, mfikirisho huo.

Ila sisi makataa hatutaki vyote
🤣🤣🤣🤣🤣👋👋
 
Habari mabibi na mabwana katika jukwaa hili pendwa, Rejea kichwa cha habari hapo juu

Yaani kumekuwa na story nyingi za kunyimana unyumba kwenye jukwaa hili mpaka kero,

Hii ina ashiria kwamba NDOA si kitu cha kukimbilia kabisa yaani mpaka ujipange vilivo nimeshtuka sana kila ninapo scroll nakutana na nyuzi et jamaa flani kanyimwa tendo la ndoa.

HIVYO BASI NIKWAMBA YAANI NI HIVI #KIJANAKATAANDOA utakufa bure.
 
Nyuzi ambazo zimezidi humu ndani ni za usaliti. Naona hii ni mikakati ya lazina iliyoratibiwa na wale KATAA NDOA.

Na wanafanya hivyo kimakusudi ili kuleta taharuki kwa vijana ambao bado hawajaoa na kubadili mwelekeo.

Mbaya zaidi, nyuzi hizo zinaletwa na ID mpya kila uchwao. Joined 29 May, alafu tar 31 May, utasikia nilimsaliti mume wangu. Kanikuta nabanjuliwa kwa mpalange.

See? Anayetegemea kuoa anapata picha gani?

Kuna propaganda inaendelea humu jukwaani. Na kwenye uzi wana-tag-iana kwa wingi.
 
Back
Top Bottom