Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Bitter truth! Wengi tunavumilia tu, maana sasa ukimtimua, maana yake, ama watoto wako alee mama mwingine, Only God knows watakachofanyiwa na huyo mama wa kambo,au aondoke na watoto njemba nyingine ikakulelee wana wako, na huko vile vile ni majanga,
Njemba zikiona huyu binti si wake, zinamvutia kasi, tu, mpaka uje ujue, Mambo yaliishaharibika.
Kwa sasa hv ndoa ikileta shida, piga chini, epuka stress, Ila, zipo ndoa zenye Amani, japo si kwa asilimia 60
Na mke mwingine nae anakasoro yake, pengine itakua ndogo au kubwa kuliko, ulienae sasa.
Na wewe pia unakasoro zako zisizovumilika na zinazovumilika
Kikubwa tafuta kuwa na amani, zen fanya yako tafuta pesa, heshimu pesa, zaidi sana heshimu na kuinyenyekea kazi inayokupa pesa
 
Binafsi sijui na sijaona faida ya ndoa hadi leo hii

Napika mwenyewe, nafua mwenyewe, nachota maji mwenyewe.

Nikitaka mbususu nachukua tu demu wa kitaa napiga anasepa

Sasa najiuliza kuna faida gani ya kuoa kama ndoa zenyewe kila siku majanga, kero, usaliti na kuumizana mioyo.

Nina watoto na mke ila sioni faida ya yule mke zaidi ya kero tu. Na nashukuru sikai nae pamoja maana nyakati tunazokutana likizo ninachokipata toka kwake ni kero na karaha tu na si furaha.

Bora kuwekeza kwa watoto na si mke wa ndoa tena hawa wake wa siku hizi kero tupu.
Mchango wangu ni kama ufuatavyo ...

Yote uliyoongea ni sawa kwa kiasi kikubwa lakini sio kigeni, ukiangalia kusudio hasa la ndoa ni kutimiza mapenzi ya Mungu na si kupata raha, kwa wakristo - biblia ipo wazi kabisa kwamba:

(1) Waefeso 5:31 BHN​

“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.” - Hapo tayari tatizo la kwanza, kumbuka huyu mtu unayeenda kuanza naye maisha ni mtu baki na pengine mmekutana ukubwa, so usitegemee ulaini (Na bado tukaoa).

(2) 1 Wakorintho 7:28 SRUV​

Lakini, kama ukioa, huna hatia; wala mwanamwali akiolewa, hana hatia; lakini watu kama hao watakuwa na dhiki katika mwili nami nataka kuwazuilia hayo. - Biblia ipo wazi, ukioa unalo, aint for faint hearted, si kwa wenye mioyo rahisi as NDOA by nature tayari imefanywa kuwa ngumu

Hivyo basi, kwa yote unayopitia, kumbuka:

  • Ndoa ni muhimu sana sana sana kwa watoto wataopatikana kuliko kwa wenza
  • Inashauriwa, oa tu kama una lengo la kupata na kulea watoto wako,
  • Pamoja na yote! You being together is the best ever thing to happen to your kids.

Mwisho, jipende, jijali, sifunze kupotezea na kumsamehe mwenza wako, she is a human as you are na pia penda zaidi watoto wako.
 
Binafsi sijui na sijaona faida ya ndoa hadi leo hii

Napika mwenyewe, nafua mwenyewe, nachota maji mwenyewe.

Nikitaka mbususu nachukua tu demu wa kitaa napiga anasepa

Sasa najiuliza kuna faida gani ya kuoa kama ndoa zenyewe kila siku majanga, kero, usaliti na kuumizana mioyo.

Nina watoto na mke ila sioni faida ya yule mke zaidi ya kero tu. Na nashukuru sikai nae pamoja maana nyakati tunazokutana likizo ninachokipata toka kwake ni kero na karaha tu na si furaha.

Bora kuwekeza kwa watoto na si mke wa ndoa tena hawa wake wa siku hizi kero tupu.
Kama unhejua hili inhekusaidia sana. Ukifanikiwa kuishi katika ndia ni tiketi.ya mafanikio katika maisha mengine. Hofu yangu utaishia vibaya sana.
 
Ongeza bidii, utawaelewa zaidi ya hapo.
Biblical words, "tuishi na wake zetu Kwa akili".
Sitakosea nikisema ukishindwa kuishi na mwanamke wako, means huna akili.(namaanisha malizana nae, mwanaume hutakiwi kuja na maada ya kulia lia kama iyo. acha upunbavuuu).
Kwani mlivotongozana tulishirikishwa?
Nini maana ya kuishi,
Kuishi maana yake ni kuifanya siku iende bila kuwa na athari yoyote kwako.
STUPID MAN, SHAME UPON YOU, KIKUBWA USIJIUE BRO, BALI VYOVYOTE NI MAISHA.
Acha kunitusi msenge wewe au unataka nije nimuoe mamako?
 
Mimi nadhani kama ukimpata mtu sahihi kwako alafu ukawa upo vizuri kiuchumi ndoa, basi ndoa itakuwa nzuri sana.
Ila kama haupo vizuri kiuchumi kimbia ndoa kabisa! Iwe umempata mtu sahihi au sio wewe kimbia tu.
 
Binafsi sijui na sijaona faida ya ndoa hadi leo hii

Napika mwenyewe, nafua mwenyewe, nachota maji mwenyewe.

Nikitaka mbususu nachukua tu demu wa kitaa napiga anasepa

Sasa najiuliza kuna faida gani ya kuoa kama ndoa zenyewe kila siku majanga, kero, usaliti na kuumizana mioyo.

Nina watoto na mke ila sioni faida ya yule mke zaidi ya kero tu. Na nashukuru sikai nae pamoja maana nyakati tunazokutana likizo ninachokipata toka kwake ni kero na karaha tu na si furaha.

Bora kuwekeza kwa watoto na si mke wa ndoa tena hawa wake wa siku hizi kero tupu.

Tatizo huna hela.
 
Binafsi sijui na sijaona faida ya ndoa hadi leo hii

Napika mwenyewe, nafua mwenyewe, nachota maji mwenyewe.

Nikitaka mbususu nachukua tu demu wa kitaa napiga anasepa

Sasa najiuliza kuna faida gani ya kuoa kama ndoa zenyewe kila siku majanga, kero, usaliti na kuumizana mioyo.

Nina watoto na mke ila sioni faida ya yule mke zaidi ya kero tu. Na nashukuru sikai nae pamoja maana nyakati tunazokutana likizo ninachokipata toka kwake ni kero na karaha tu na si furaha.

Bora kuwekeza kwa watoto na si mke wa ndoa tena hawa wake wa siku hizi kero ttt
Hizi ndo dalili kuu za mtu asiye na hela
 
katika harakati za kupambana na maisha nimechunguza sana wale watu wa kataa ndoa au straight man ambao hawana shobo na wanawake hawa wa kitaa au makazini wengi wao wanapenda malaya

Kwaiyo kutokana na kugonga wimbi la wadada wazuri wa Kila shape ,sura na miondoko Kuna wanaume kwao MALAYA ni burudani .

Unakuta msela akiwa kitaa au ofisini akakutana na wadada wanaoringa au wanaotafuta attention yeye kubabaika nao ni ngumu manake ana reserve na history ya kula kina aina ya Papuchi nzuri na mbaya so anaona hakuna jipya

Machache kuhusu wale wa kataa ndoa au wapenda Malaya ,nimewaandikia kwa herufi kubwa

1.UKIZOEA MALAYA/DEMU ASIYE PERMANENT KUOA NI NGUMU SANA

2.NA HATA UKIOA BASI MWANAMKE HAUTOTISHIKA NA KUACHANA NAYE

3.PIA UKIZOEA MALAYA HAWA WANAWAKE WENGINE KITAA KUMBEMBELEZA MWANAMKE & KUHUDUMIA INAKUWA NGUMU

4.UKIZOEA MALAYA WANAWAKE WA KITAA,KANISANI ,MSIKITI I AU MAOFISINI HUTOBABAIKA NAO KUWASHOBOKEA

5.UKIZOEA MALAYA AU KUGONGA DEMU ASIYE PERMANENT HUWEZI JINYONGA KISA STRESS ZA MAPENZI

6.UKIZOEA MALAYA GHARAMA YAKO KUU NI KULIPIA HELA YA TENDO ,HAKUNA HELA YA SALUNI,SJUI VOCHA AU MAMA ANAUMWA

7.UKIZOEA MALAYA HUTAKUWA NA STRESS ZA KUTOMBEWA

ONGEZEA MENGINE UNAYOJUA KUHUSU WAPENDA MALAYA AU WATU WA KATAA NDOA
 
Hehehehe daa umetisha mtaalamu ,umeongea kimasihara japo ni ukweli,Kuna fantasy watu wanaogopa wakiwa kwenye ndoa ila nje wanazifanya
Hakika mkuu.

Mimi demu nikishamla mara kadhaa huwa sinaga mzuka naye tena kivile. Labda yeye mwenyewe awe mtundu kitandani ila kama gogo ndio kabisa atashangaa tumeshaachana kimyakimya

Sijui wanetu waliooa wanawezaje kuvumilia kula mbususu ileile miaka nenda rudi mpaka kifo kiwatenganishe
 
Back
Top Bottom