Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 442
- 1,655
Binafsi sijui na sijaona faida ya ndoa hadi leo hii
Napika mwenyewe, nafua mwenyewe, nachota maji mwenyewe.
Nikitaka mbususu nachukua tu demu wa kitaa napiga anasepa
Sasa najiuliza kuna faida gani ya kuoa kama ndoa zenyewe kila siku majanga, kero, usaliti na kuumizana mioyo.
Nina watoto na mke ila sioni faida ya yule mke zaidi ya kero tu. Na nashukuru sikai nae pamoja maana nyakati tunazokutana likizo ninachokipata toka kwake ni kero na karaha tu na si furaha.
Bora kuwekeza kwa watoto na si mke wa ndoa tena hawa wake wa siku hizi kero tupu.