Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Binafsi sijui na sijaona faida ya ndoa hadi leo hii

Napika mwenyewe, nafua mwenyewe, nachota maji mwenyewe.

Nikitaka mbususu nachukua tu demu wa kitaa napiga anasepa

Sasa najiuliza kuna faida gani ya kuoa kama ndoa zenyewe kila siku majanga, kero, usaliti na kuumizana mioyo.

Nina watoto na mke ila sioni faida ya yule mke zaidi ya kero tu. Na nashukuru sikai nae pamoja maana nyakati tunazokutana likizo ninachokipata toka kwake ni kero na karaha tu na si furaha.

Bora kuwekeza kwa watoto na si mke wa ndoa tena hawa wake wa siku hizi kero tupu.
 
Binafsi sijui na sijaona faida ya ndoa hadi leo hii Napika mwenyewe, nafua mwenyewe, nachota maji mwenyewe. Nikitaka mbususu nachukua tu demu wa kitaa napiga anasepa Sasa najiuliza kuna faida gani ya kuoa kama ndoa zenyewe kila siku majanga, kero, usaliti na kuumizana mioyo. Nina watoto na mke ila sioni faida ya yule mke zaidi ya kero tu. Na nashukuru sikai nae pamoja maana nyakati tunazokutana likizo ninachokipata toka kwake ni kero na karaha tu na si furaha. Bora kuwekeza kwa watoto na si mke wa ndoa tena hawa wake wa siku hizi kero tupu.

Faida ya kuoa muulize mama yako na baba yako wengine. hutatuamini tukikupa
 
As unaishi mbali na mkeo wewe ni bachelor Kama mabachelor wengine Ila tu wewe uko occupied, huwezi kuuona umuhimu wa ndoa Kwa sasa.
Pambana muishi pamoja au vunja hiyo unayoita ndoa mapema kabla hujapata ugonjwa wa moyo.

Kuna mdau humu alisema Ili ndoa ya mbali idumu inabidi wote wanne muwe serious🤣🤣🤣
 
Binafsi sijui na sijaona faida ya ndoa hadi leo hii

Napika mwenyewe, nafua mwenyewe, nachota maji mwenyewe.

Nikitaka mbususu nachukua tu demu wa kitaa napiga anasepa

Sasa najiuliza kuna faida gani ya kuoa kama ndoa zenyewe kila siku majanga, kero, usaliti na kuumizana mioyo.

Nina watoto na mke ila sioni faida ya yule mke zaidi ya kero tu. Na nashukuru sikai nae pamoja maana nyakati tunazokutana likizo ninachokipata toka kwake ni kero na karaha tu na si furaha.

Bora kuwekeza kwa watoto na si mke wa ndoa tena hawa wake wa siku hizi kero tupu.

Tunza ulichoandika ukisome ukiwa na miaka 45 kama utakuwa hai, utagundua jinsi gani ulikuwa mpumbavu na mtu wa hovyo.
 
Binafsi sijui na sijaona faida ya ndoa hadi leo hii

Napika mwenyewe, nafua mwenyewe, nachota maji mwenyewe.

Nikitaka mbususu nachukua tu demu wa kitaa napiga anasepa

Sasa najiuliza kuna faida gani ya kuoa kama ndoa zenyewe kila siku majanga, kero, usaliti na kuumizana mioyo.

Nina watoto na mke ila sioni faida ya yule mke zaidi ya kero tu. Na nashukuru sikai nae pamoja maana nyakati tunazokutana likizo ninachokipata toka kwake ni kero na karaha tu na si furaha.

Bora kuwekeza kwa watoto na si mke wa ndoa tena hawa wake wa siku hizi kero tupu.
Bitter truth! Wengi tunavumilia tu, maana sasa ukimtimua, maana yake, ama watoto wako alee mama mwingine, Only God knows watakachofanyiwa na huyo mama wa kambo,au aondoke na watoto njemba nyingine ikakulelee wana wako, na huko vile vile ni majanga,
Njemba zikiona huyu binti si wake, zinamvutia kasi, tu, mpaka uje ujue, Mambo yaliishaharibika.
Kwa sasa hv ndoa ikileta shida, piga chini, epuka stress, Ila, zipo ndoa zenye Amani, japo si kwa asilimia 60
 
Binafsi sijui na sijaona faida ya ndoa hadi leo hii

Napika mwenyewe, nafua mwenyewe, nachota maji mwenyewe.

Nikitaka mbususu nachukua tu demu wa kitaa napiga anasepa

Sasa najiuliza kuna faida gani ya kuoa kama ndoa zenyewe kila siku majanga, kero, usaliti na kuumizana mioyo.

Nina watoto na mke ila sioni faida ya yule mke zaidi ya kero tu. Na nashukuru sikai nae pamoja maana nyakati tunazokutana likizo ninachokipata toka kwake ni kero na karaha tu na si furaha.

Bora kuwekeza kwa watoto na si mke wa ndoa tena hawa wake wa siku hizi kero tupu.
Kwa akili hii sidhani kama utaelewa chochote hata tukikushauri, waalimu watakao kufundisha vizuri uelewe mtu kama wewe ni wawili tu,
1. Muda
2.Maradhi
 
Binafsi sijui na sijaona faida ya ndoa hadi leo hii

Napika mwenyewe, nafua mwenyewe, nachota maji mwenyewe.

Nikitaka mbususu nachukua tu demu wa kitaa napiga anasepa

Sasa najiuliza kuna faida gani ya kuoa kama ndoa zenyewe kila siku majanga, kero, usaliti na kuumizana mioyo.

Nina watoto na mke ila sioni faida ya yule mke zaidi ya kero tu. Na nashukuru sikai nae pamoja maana nyakati tunazokutana likizo ninachokipata toka kwake ni kero na karaha tu na si furaha.

Bora kuwekeza kwa watoto na si mke wa ndoa tena hawa wake wa siku hizi kero tupu.
Ongeza bidii, utawaelewa zaidi ya hapo.
Biblical words, "tuishi na wake zetu Kwa akili".
Sitakosea nikisema ukishindwa kuishi na mwanamke wako, means huna akili.(namaanisha malizana nae, mwanaume hutakiwi kuja na maada ya kulia lia kama iyo. acha upunbavuuu).
Kwani mlivotongozana tulishirikishwa?
Nini maana ya kuishi,
Kuishi maana yake ni kuifanya siku iende bila kuwa na athari yoyote kwako.
STUPID MAN, SHAME UPON YOU, KIKUBWA USIJIUE BRO, BALI VYOVYOTE NI MAISHA.
 
Back
Top Bottom