Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Sawa tu kwani nani kasema ina makombo....mnavoongeaga ivo mjue mna Mama zenu
 
"Mwanamke kuwa tayari kuolewa na wewe sio kwamba anakupenda, ni utaperi"
This is very general bro! How do you know! We ni mtabiri au Dokta wa sycologia?
Na huu utafiti wako,ni kwa TZ peke take, au, unavuka mipaka? Au, ni Dar peke yake,mwisho chalinze!
Ndoa ni swala, pana, pesa ni muhimu, ukwasi, ni, muhimu ndoa, inawili,kijanq anaanza kufanya ngono akiwa, shule ya msingi miaka 12,sekondsry, chuo,mpaka anaolewa ameishaona K, na Pipe kama Mia mbili! Sasa anakutana na mwenzie eti waanzishe ndoa!
 
Kwa hiyo tuwafurushe majumbani mwetu au unashauri nini ndugu mnasihi?Acheni kujipa mawazo yaliyo hasi kila muda.Mtakufa kwa sonona.Yafanyeni maisha yenu yawe mepesi.Kila muda mnatafuta kasoro tu badala ya kujipa matumaini.Kifo ki malangoni penu.
 
Ni UKWELI MTUPU! Juzi mwanamke wangu amenikimbia. NDOA NI UTAPELI! UTAPELI! SITAKI KUSIKIA TENA MAMBO YA NDOA. IT IS VERY VERY DANGEROUS. MARRIAGE IS EVIL! NI UPUUZI MTUPU. Ndoa za kweli zilikuwa zamani. Siku hizi ni utapeli tu!
Hawawezi kukukimbia wote.Huyo aliyekimbia ana malaria imepanda kichwani.Tulia.Jipe muda na utampata mwenye afya njema ya akili.
 
Be careful who you build with,
because people will use you for the foundation,
and finish the structure with somebody else.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…