Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Wazazi wako wapo?? Mahusiano yenu yakoje sahivi? Wewe na baba, wewe na mama.....
 
Wazazi wako wapo?? Mahusiano yenu yakoje sahivi? Wewe na baba, wewe na mama.....
Mama yupo kwake amejenga, Baba anaishi mkoa mwingine(siwezi kuutaja maana nitatoa code kama mwanafamilia akipita humu atajua)

Ila mimi na mama tupo vizuri sana ila kwa upande wa Baba kuna kipindi wakat mdogo niliendaga kwake kumsalimia ila tuliishia kuwa tunalala wenyewe na yeye akilala nje kwahyo hatukuweza kuishi nae hata kujenga bond nzuri kati yetu so tukaamua kuondoka tu,

Tulikuwa tukiomuomba hela hata ya kununulia mabegi na nguo alikuwa anatutukana akisema ana zaidi ya milioni 80 benki ila hela zake atakula na malaya ila sio sisi maan alishasema hatutunzi,

Kwahiyo tangu hapo sijawahi kuwa na uhusiano mzuri na baba, japokuwa huwa najaribu kujiweka karibu nae ila imefika mahali nimeshindwa kabsa kuwa mnafiki huyu mtu simpendi na namchukia sana hata kwenye simu nimemblock.
 
Mmh huyo dingi hatari, roho chuma.....

Pole kwa changamoto ulizopitiaga.
 
Makosa ya baba yako yasikufanye wewe ukakataa ndoa Baba yako alikua na maisha yake na wewe una maisha yako

Jifunze kutokana na makosa yake kubali kua mume na baba bora kwenye familia yako..!🤸
Najitahidi sana ila hata haya mahusiano ya nyuma tu ambayo nimewahi kuwa nayo naona nashindwa kabsa kuendana nayo sasa nikiingia kwenye ndoa si ndo zaidi kabisa nitamtesa tu huyo mwenza,

Kuna tabia naziona kabsa hazitovumilika na mwenzangu.
 
Najitahidi sana ila hata haya mahusiano ya nyuma tu ambayo nimewahi kuwa nayo naona nashindwa kabsa kuendana nayo sasa nikiingia kwenye ndoa si ndo zaidi kabisa nitamtesa tu huyo mwenza,

Kuna tabia naziona kabsa hazitovumilika na mwenzangu.
Kwakweli ishi tu mwenyewe mzee baba, punyeto ni mkombozi mara moja moja unaomba mbususu za dharura....
 
Kumbe bado umri wako ni mdogo namna hii....... Ugomvi wa Baba na Mama watoto hawauingilii ni laana.
 
Hizo ni changamoto ambazo zipo, na zisisababishe maisha yako yaharibike, hiyo ilikuwa ndoa ya baba yako na mama yako, una nafasi ya kutengeneza yako ambayo ni nzuri kuliko ya wazazi wako
 
Kina baba tunapitia mambo mengi sana, na hua hatuyaweki wazi kwa mtu yoyote.

Nafikiri ungechunguza kwanza sababu ya baba ako kua Ivo kabla hujawa mkataa ndoa sugu, yawezekana alifanya hivyo baada ya kugundua we siyo mtoto wake wa damu alisingiziwa.

Maana kuna muda mtu anakufanyia usaliti unashindwa kumuacha kwa sababu fulani, ila unachagua kuishi nae kwa kumpiga matukio mpaka atoshe mwenyewe.
 
Ipo siku ukiujua ukweli ambao baba yako alikuwa nao moyoni na kichwani utakuwa na wewe ushakuwa na mtoto anayrkuwazia wewe namna unavyomiwazia baba yako
 

Attachments

  • Screenshot_20240621-181410.jpg
    408.9 KB · Views: 3
It takes a man to understand and do a man's thing..... A boy will never understand a man.
 
Story yenyewe ya upande mjaa hii leta na upande wa pili,
sikia mkuu ukiona mtu kafeli ujue alianza kufeli kabla ujamuona kafeli.

sikuu kaa muulize mshua kwa Nini alikua mdwanzi enzi hizo.
 
Story yenyewe ya upande mjaa hii leta na upande wa pili,
sikia mkuu ukiona mtu kafeli ujue alianza kufeli kabla ujamuona kafeli.

sikuu kaa muulize mshua kwa Nini alikua mdwanzi enzi hizo.
Huo muda yule mzee hana mkianza tu kuongea ataanza kkutukana na kukusimanga, anagombana na kila mtu hadi Dada yake wa damu wamegombana sasa unafikiri huyo mtu atasaidiwa na nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…