Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Yani wanawake wa kiafrika akili zao sijui huwa zinawaza nini,kama umemchoka mtu au unaona hakuridhishi si uondoke uchukue hamsini zako.Kwa nini uende utembeze uke wako uku ukijua fika umeolewa.Aunt ndoa imemshinda sababu ni hiyohiyo....kaenda msibani kalala huko....asubuhi uncle kamuwahia anashangaa anaambiwa hakulala hapo....wanoko wakamtajia hadi alikogalagazwa na kiserengeti man
Kuwa mke wa mtu haibadilishi tabia ya uzinzi kama aliyokuwa nayo.Hapo umekutana na wazinzi wenzio kwenye kivuli cha wake za watu. Ndege wenye rangi moja huruka pamojaHabari wana jamii forum kiukweli hii nimeochunguza na numeona wanawake wengi wanatumia mazishi kwenda kwa watu waoo nimelala na wanawake zaidi ya watano. Na wote walivyoondoka kwa waume zao wnasema wanaenda mazishini oyaaa kataaa ndoa nawaunga mkono nikioa mke wangu akisema anaenda kwaoo mazishini mm roho inatoka kabisaaa daaa wake za watu wengi hii chance wanatumia sana
Wewe Acha tuuAunt ndoa imemshinda sababu ni hiyohiyo....kaenda msibani kalala huko....asubuhi uncle kamuwahia anashangaa anaambiwa hakulala hapo....wanoko wakamtajia hadi alikogalagazwa na kiserengeti man
Sema kwenu vipaji ni vingi saanaAunt ndoa imemshinda sababu ni hiyohiyo....kaenda msibani kalala huko....asubuhi uncle kamuwahia anashangaa anaambiwa hakulala hapo....wanoko wakamtajia hadi alikogalagazwa na kiserengeti man
Hahaha hahhahahKuwa mke wa mtu haibadilishi tabia ya uzinzi kama aliyokuwa nayo.Hapo umekutana na wazinzi wenzio kwenye kivuli cha wake za watu. Ndege wenye rangi moja huruka pamoja
HatariSema kwenu vipaji ni vingi saana
Ni kweli mkuuSema kwenu vipaji ni vingi saana
Malizia story, alivyofika guest Muhudumu akamtajia hadi idadi ya goli alizopigwaAunt ndoa imemshinda sababu ni hiyohiyo....kaenda msibani kalala huko....asubuhi uncle kamuwahia anashangaa anaambiwa hakulala hapo....wanoko wakamtajia hadi alikogalagazwa na kiserengeti man
Hadi goriMalizia story, alivyofika guest Muhudumu akamtajia hadi idadi ya goli alizopigwa
🤣Dadeki miaka 30 jela na riba juu inakuhusu maana mahabusu utachezea miaka minne(hyo ndo riba)Haha 😂 😂 nisaidie kutafuta bikira toka nakua sijawahi ona icho kitu aisee tuendelee kuvumilia hamna cha peke Ako, heshima izingatiwe.
DahKwa hiyo unataka kumwelewa mwanamke?
Nilichokihisi ni kwamba Baltar aliwateka wanawake kwa kitu kimoja kikubwa, nacho ni uwezo wake wa kuwakojoza na ikitegewa kwamba baadhi yao huenda hawakuwa wanakojozwa na waume zao ndiyo maana hata Baltar aliwagonga wake za vigogo wenye hela.
Pili, inaelekea baadhi yao walikuwa wanasimuliana uwezo wa Baltar katika kuwakuna na hivyo kujikuta wanampelekea. Kumbuka wanawake huwapenda zaidi wanaume wenye mvuto kwa wanawake wenzao.
Kuhusu mvuto wa hela, hii ni sababu ndogo sana.
RIP kwa yule wa wigi jekundu maana kajinyonga baada ya scandal, ila alikuwa porn star mzuri sana daah!
Huenda mbinguniKut mba mke wa mtu ni Raisi sana, pia wanawake Hawana Garantee, unaweza tmba kwa karanga tuuuu